Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Mkuu jitahidi telegram uweke movie mpya tofauti na hizi za kikorea na kichina, weka (chinese/korean) ila zisiwe mfululizo maana huwa zinatesa sana kusoma subtitle bora za kiingereza tu.

Ni ombi mkuu wangu ziweke ila isiwe kwa mfululizo huu.
 
Mzee baba, kila mtu na akipendacho
Movies nyingi ninazowekwa zimeombwa na watu so najibu request zao kwa kutuma.

Na movies za kikorea uziongeleazo nimezituma mbili tu baada ya 13 hours ambayo ni ya kizungu.

Labda unaongelea kwa upande wa series, na kule nimetuma kitu alichoomba mshkaji hapo juu.
 
Sawa mkuu wangu nimekuelewa.
 
SteveMollel nimedownload movie kwenye telegram yako ya movies na simulizi lakini sioni hiyo movie hiv Kuna sehemu yoyote kwenye telegram inayoonesha movie uliodownload imeenda wapi?
 
Huioni wapi yani? ... nilishaeleza huko juu kwamba unachodownload kinabakia Telegram pasipo kuathiri storage ya simu yako, labda wewe ndo ukihamishe kukipeleka kwenye gallery.

So kama hujaihamisha maana yake hutaiona gallery bali hukohuko telegram.
 
Ndo nimeangalia kwenye telegram sioni hiyo movie sijui Ni kwanini?
 
Huioni wapi yani? ... nilishaeleza huko juu kwamba unachodownload kinabakia Telegram pasipo kuathiri storage ya simu yako, labda wewe ndo ukihamishe kukipeleka kwenye gallery.

So kama hujaihamisha maana yake hutaiona gallery bali hukohuko telegram.
Kesi yake ni kama ile yangu niliyokuelezaga mkuu, yaan inadownload mpk inamaliza bt ukitouch kuiplay inazunguka kwa mda then inaanza kudowload upyaaaa
 
Ila mzee sio mbaya. Nilikuwa natumia ya TTCL lakini ni kobe. Nilikuwa nadownload movies 2 tu usiku mzima. Huwezi fananisha na mzigo wa Halotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ttcl ni kweli kobe, ila nimegundua kuanzia saa kumi usiku iko fasta ya ajabu mf Prison break season moja yenye episode 22 naweza download kwa saa moja kuna siku nilidownload episod 4 na 5 kwa masaa 2 tu mb zote 10 ziliisha
 
Nimeselect movies zangu zipatazo kumi hvi then nikazidownload kwa pamoja through ttcl huwez amin kufika asubui hakuna ata muvi moja iliyokuwa imemaliza kudowload, nadhan nijaribu halotl
 
Kesi yake ni kama ile yangu niliyokuelezaga mkuu, yaan inadownload mpk inamaliza bt ukitouch kuiplay inazunguka kwa mda then inaanza kudowload upyaaaa
Hapana. Yeye anasema hazioni kabisa. Sasa nastaajabu kwamba zinaenda wapi.
 
Nimeselect movies zangu zipatazo kumi hvi then nikazidownload kwa pamoja through ttcl huwez amin kufika asubui hakuna ata muvi moja iliyokuwa imemaliza kudowload, nadhan nijaribu halotl
Halotel mzee ndo mpango. Unlimited na kasi yake si haba.
 
Back
Top Bottom