Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Mkuu kwenye movie kitu rating kina maana gani ??

Mfano kuna movie imeandikwa rating 6.5 sijui,hii ina maana gani ?

Alafu kuna ile interstellar ile movie sijawahi kuielewa kabisa,napenda movie za vile ila kuna mdau aliniambia mpaka niwe nimepita na ohysics kidogo,nikaona ohooo
Interstellar mbona nshawahi elezea kwenye moja ya comment mtu aliuliza katika post za nyuma.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, na download movie kwenye channel yko bt ikimaliza kudowload badala ya kuplay inaanza tena upya kudowload, ni movie moja tu ambayo nimefanikiwa ile ya 13 sins. Kama hii red snow imenilia karibu 1600mb bure.
Screenshot_20200529-173310.jpg
 
Sawa mkuu. Nawe pia usisahau kupitia youtube na usubscribe maana kuna kazi zingine kule.

Movies na stories

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimetoka kucheki channel ya u tube safi sana ila kuna jambo lifanyie kazi kidogo sauti yako wakati una narrate ni kama inasikika kwa chini hivi jaribu kuongeza otherwise iko poa sana jitahdi uwe unafanya na summary ya series
 
Mkuu, na download movie kwenye channel yko bt ikimaliza kudowload badala ya kuplay inaanza tena upya kudowload, ni movie moja tu ambayo nimefanikiwa ile ya 13 sins. Kama hii red snow imenilia karibu 1600mb bure. View attachment 1462691
Mh! Mkuu si kwamba kutakuwa na matatizo na setting? Kama bado yatakuwa yanasumbua, jaribu kudownload BGram (agent wa telegram) kule playstore uwe unaitumia kama mbadala.
 
Nimetoka kucheki channel ya u tube safi sana ila kuna jambo lifanyie kazi kidogo sauti yako wakati una narrate ni kama inasikika kwa chini hivi jaribu kuongeza otherwise iko poa sana jitahdi uwe unafanya na summary ya series
Ni kweli mkuu si unajua mwanzo mgumu ndugu yangu. Nahaha hapa nipate mic njema mambo yawe poa, pia niongeze idadi ya videos per week.
 
Hyo unayoiona hpo juu nimeipakuwa ikamaliza nikaplay ikaload sana alafu ikaanza upya kupakuwa
 
mbn hiz ulizoziweka halo kwenye Uzi mbn hazipo
 
Hongera mkuu kwa kula views 100+ ndani ya masaa kadhaa YouTube kama ulivyoeleza kule chimbo, tutazidi kuview na kushare kwa spid kama Shukran yetu kwako.
Hahaha pamoja sana boss. Naona kila hatua twasonga...video ya kwanza ilichukua week kupata 100 views, ya pili ikachukua 5 days ila hii ya tatu imechukua masaa tu.


Alafu ntakuja na uzi mwingine wa movies kama si leo kesho. Kaa tayari.

Alafu vipi ulifanikiwa lile tatizo?
 
Back
Top Bottom