SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka nidownload movie niiweke kwwnye simu then niingize kwenye flsha kupitia laptop then naichomeka kwenye cd natizama kupitia tv je inawezekana ?Ndo uzuri wa Telegram. Hata udownload movies zote simu haijai maana inatumia cloud storage yake labda ww ndo uhamishe movie uilete kwa gallery
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshafika mbona. Sasa hapo si umeona kialama cha kusearch hapo juu kulia? Bonyeza na uandike Movies na stories. Channel itakuja, join.
Ahsante sana mkuu.Nimejoin Jana kwenye channel zako zote mbili,ni wazo zuri sana Hongera unastahili,yani mule mchawi bundle lako tu la kushusha ile mizigo...By the way mimi shida yangu Ni kwamba movie ikiwa kwenye format ya mkv nikiplay kwa vlc ni shida inaplay kwa kukata kata yani otherwise nitumie media player nyingine(ambapo nikiplay huko changamoto ni siwezi kupeleka mbele wala kurudisha nyuma)...Unaweza nisadia mkuu?
Kabisa.nataka nidownload movie niiweke kwwnye simu then niingize kwenye flsha kupitia laptop then naichomeka kwenye cd natizama kupitia tv je inawezekana ?
Dah hii movie ni kali hatari ,yaani location ni moja ila tamu balaa.Hii ndo ilikuwa movie yetu ya leo (tarehe 25) kwa kule Telegram.
Movie ya leo ni movie iliyoteuliwa kuzungumziwa kidogo kumpatia picha na kumhamasisha mtazamaji.View attachment 1459740View attachment 1459741
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu,ila vipi ni njia gani unayoifahamu naweza kutumia kyitoamovie kwenye simu kuitia kwenye flash ili niweze kuchomeka kwenye cd nikatazama kwenye tv ?Kabisa.
Fanya hivi, njia nyepesi kabisa ambayo sitatoa sana maelezo mengi. Ingia playstore download "Bgram" - ni agency ya Telegram ambayo waweza pia kuitumia kuoperate telegram yako kama kawaida.
Utakuwa unaingilia huko kwenye telegram yako na hata pia kudownload vilevile. Sasa ukishapakua movie yako, play. Kwa juu kuume utaona vidoti vitatu. Ukibonyeza utaona option ya kusave hiyo movie kwenye gallery.
View attachment 1459738View attachment 1459739
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuu. Haipo. Ngoja ntaiweka kesho.Dah hii movie ni kali hatari ,yaani location ni moja ila tamu balaa.
Kuna movie inaitwa phonebooth naifatuta sijui upoo kule ?
Kama una pc, cha kufanya itoe movie telegram ilete kwenye gallery ya simu yako kama nilivyokuelekeza. Kisha tumia usb kuhamishia movie toka kwenye simu mpaka kwa pc ambapo huko utaweza kuibeba na flash.Asante sana mkuu,ila vipi ni njia gani unayoifahamu naweza kutumia kyitoamovie kwenye simu kuitia kwenye flash ili niweze kuchomeka kwenye cd nikatazama kwenye tv ?
Asante sana mkuu,ila vipi ni njia gani unayoifahamu naweza kutumia kyitoamovie kwenye simu kuitia kwenye flash ili niweze kuchomeka kwenye cd nikatazama kwenye tv ?
asante sana mkuu.Kama una pc, cha kufanya itoe movie telegram ilete kwenye gallery ya simu yako kama nilivyokuelekeza. Kisha tumia usb kuhamishia movie toka kwenye simu mpaka kwa pc ambapo huko utaweza kuibeba na flash.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuja na Quality ileile HD ama inakuwa inasumbuaKama una pc, cha kufanya itoe movie telegram ilete kwenye gallery ya simu yako kama nilivyokuelekeza. Kisha tumia usb kuhamishia movie toka kwenye simu mpaka kwa pc ambapo huko utaweza kuibeba na flash.
Sent using Jamii Forums mobile app
Quality ileile. Kama ni 720p au 1080pInakuja na Quality ileile HD ama inakuwa inasumbua
Hahaha uwe unajiunga kifurushi cha unlimited usiku. Hapo unajiachia uwezavyo ww.asante sana mkuu.
Bukubuku zangu za kuburn cd zinaenda kununulia mbs na kuoakua mamovie.
Ubarikiwe sana.
PEriod
Barikiwa sana mkuu, yaan chanel yako ni moto wa kuotea mbali, ili kuenjoy zaidi yanipasa nianzie juu kabisa ulipoanza wakt bado sijajua then nitakuta njian mdogo mdgo[emoji1]Ndo uzuri wa Telegram. Hata udownload movies zote simu haijai maana inatumia cloud storage yake labda ww ndo uhamishe movie uilete kwa gallery
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mzee baba. zile ni movies, download enjoy.
Nimeshaeleza huko juu. Hii channel ni public sio private so ukisearch tu unaipata. Ingia Telegram kisha bonyeza alama ya kusearch juu kuume kisha andika Movies na stories utatupata.Tusaidieni link ya huki telegram wakuu.
Hapo mkuu kutimiza utatu mtakatifu, hakikisha una Halotel kisha uwe unajiunga kifurushi cha usiku unlimited.Barikiwa sana mkuu, yaan chanel yako ni moto wa kuotea mbali, ili kuenjoy zaidi yanipasa nianzie juu kabisa ulipoanza wakt bado sijajua then nitakuta njian mdogo mdgo[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app