Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

vitendo dhidi ya maneno

1590271071700.png

1590271111080.png

speed yake bila shaka mmeicheki

mtoa mada endelea kushusha madude
 
daaaah mwanangu telegram hata siijui mi ni jf tu labda youtube unipe link mkuu
Mkuu, si mbali. Ingia tu playstore download. Ni free. Ipo kama whatsapp sema ina uwezo zaidi. Ukishadownload sasa, jisajili alafu search mambo "Movies na stories" uwe unajitazamia movies.
Screenshot_20200524-011828.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hv hizi movies zilizonyingi ni mb kuanzia ngapi ili nijipime ubavu wa kudownload?

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss wangu, nikushauri kitu. Hizi movies sio za kuzidownload na haya mabundle ya kawaida, zitakunyonya. Cha muhimu uwe unajiunga bundle za usiku, mfano Halotel jero ni Gb 1, buku jero unlimited usiku mzima, so unadownload movies za kutosha tu, uzuri tena ina kasi ya maana!

Na hapo ukizingatia kwamba telegram ina storage yake binafsi ambayo haiathiri simu yako, basi raaaaha kabisa!

Hebu nifundishe kidogo mkuu Telegram ina storage yake kivp?

Ina maana nikiidownload movie haikai kwenye gallery yangu?Je km inakuwa saved huko huko telegram nwezaje kumtumia mtu mwingine asiye na telegram.?

Ndio, mkuu. Hata kama ukidownload movies 200, itabakia huko telegram pasipo kuja kwa gallery labda tu wewe ndo uamue kuihamisha kuileta kwenye gallery ya simu yako. Na pia ukishadownload waweza share tu kwa mwingine wa Telegram hata whatsapp.

Shukrani mkuu nitatembelea channel yako ngoja nitafute line ya halotel kwa kweli.Telegram ninayo tayari.Be blessed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, si mbali. Ingia tu playstore download. Ni free. Ipo kama whatsapp sema ina uwezo zaidi. Ukishadownload sasa, jisajili alafu search mambo "Movies na stories" uwe unajitazamia movies.View attachment 1457924

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hua natumia fmovies kama kuna site ambayo unaijua naweza stream na kupakua movies naomba unipe majina yake maana leo nimedowload movies zote kasoro hiyo insane, site niliyotumia iliniletea clip ya dakika 7
 
Ndio, mkuu. Hata kama ukidownload movies 200, itabakia huko telegram pasipo kuja kwa gallery labda tu wewe ndo uamue kuihamisha kuileta kwenye gallery ya simu yako. Na pia ukishadownload waweza share tu kwa mwingine wa Telegram hata whatsapp.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo nikiisha download huko telegram naweza kuirudisha kwenye folders zangu nikiwa offline au tena mpaka niwe na data tena?

Halafu kama device yangu hii imepotea na niliisha download hizo movie kutoka telegram, je nikipata device nyingine naweza ku log in na kukuta movies zangu zipo au nitatakiwa nitumie data kuzi download upya?
 
Vyote vinawezekana. Ukishadownload unaweza fanya hivyo pasi na data tena mzee wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom