Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Umri kaka sie wengine kwa umri wetu hivyo vitu vingine mpk tupate vijana watuwekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Si tatizo mkuu. Acha nikuelekeze. Telegram ni application mfanano na whatsapp na ipp playstore ambapo utaipakua bure kabisa.

Sasa ingia playstore alafu andika "Telegram x" utaiona ina logo nyeusi. Download. Kisha utafungua app yako hiyo na kusearch "Movies na stories" utaona channel uta join

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran sana kamanda, nimejoin kwenye channel yako hayo madude hko sio mchezo mzee, Shukran sana, je kuna namna naweza nikaweka subtitle kupitia hii chanel?? Niko mgeni nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu, boss. Namna ya kuweka substitle ni nyepesi sana. Hakikisha unakuwa na vlc kwenye simu yako. Utakapoplay movie utabonyeza alama ya kajedwali chini (kajedwali kama cha mazungumzo) hapo utachagua kudownload substitle na kazi itakuaa imeisha. Utapakua na kujiweka automatically.

Ukikwama nshirikishe

Asante sana mkuu, kweli nilikuwa napiwa na mambo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu, boss. Namna ya kuweka substitle ni nyepesi sana. Hakikisha unakuwa na vlc kwenye simu yako. Utakapoplay movie utabonyeza alama ya kajedwali chini (kajedwali kama cha mazungumzo) hapo utachagua kudownload substitle na kazi itakuaa imeisha. Utapakua na kujiweka automatically.

Ukikwama nshirikishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Na je in the same time naweza download muvi ngapi kwa pamoja? Nataka niwe naziseti naacha zinashuka zenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si tatizo mkuu. Acha nikuelekeze. Telegram ni application mfanano na whatsapp na ipp playstore ambapo utaipakua bure kabisa.

Sasa ingia playstore alafu andika "Telegram x" utaiona ina logo nyeusi. Download. Kisha utafungua app yako hiyo na kusearch "Movies na stories" utaona channel uta join

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi nmekwama hapa...
Screenshot_20200525_214819_org.thunderdog.challegram.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu, boss. Namna ya kuweka substitle ni nyepesi sana. Hakikisha unakuwa na vlc kwenye simu yako. Utakapoplay movie utabonyeza alama ya kajedwali chini (kajedwali kama cha mazungumzo) hapo utachagua kudownload substitle na kazi itakuaa imeisha. Utapakua na kujiweka automatically.

Ukikwama nshirikishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejoin Jana kwenye channel zako zote mbili,ni wazo zuri sana Hongera unastahili,yani mule mchawi bundle lako tu la kushusha ile mizigo...By the way mimi shida yangu Ni kwamba movie ikiwa kwenye format ya mkv nikiplay kwa vlc ni shida inaplay kwa kukata kata yani otherwise nitumie media player nyingine(ambapo nikiplay huko changamoto ni siwezi kupeleka mbele wala kurudisha nyuma)...Unaweza nisadia mkuu?
 
Mzee baba zama huko telegram. Search "Movies na stories" utaona channel. Zama ndani. Pia kuna ya series, search "Chumba cha series" utaiona.

Kama kuna shida nchek

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nataka kujua kuhusu hizi movie kutia kwenye flash then flash nikachomeka kwente cd nikacheki kwenye tv inawezekana mkuu ?
 
Back
Top Bottom