maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
mbona na wewe unamsililiza ? na wewe ni Mnafiki pia?Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki?
Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa lakini serikali haichukui hatua yoyote?
Hawajui kama watu waliuwawa siku ya maandamano?
Kama hawalijui hilo basi mimi nitasema tunawezee wapumbavu kuwahi kutokea Tanzania ambao hawana ushauri wowote ule kwa watoto na wajukuu wao
Labda hujui haya matatizo yanayosababishwa na viongozi hata wewe unaathirika kwa namna moja au nyingine labda tu uwe famiria ya Viongozi lakini nakuona ni kapuku tumbona na wewe unamsililiza ? na wewe ni Mnafiki pia?