Mh!!! muulize mumewe
mgeni mwenyeji
safari ya kurejea dar
imekribia nini?
Mmmmmmmh!!
Mimi mwenyeji humu mjini, niko vizuri labada kama unataka tuonane ili tufahamiane we sema Mr. Rocky, pole yangu kwa Manoah.
Hivi ilikuwaje akaishia stendi?
Uko mitaa gani mi nimetulia hapa nilipofikia baada ya mizunguko michache ya hapa na pale.Si kajifanya mjanja hataki kuwasiliana na watu ndo matokeo yake hayo hata pa kulala akawa hajui aende wapi
Tuwasiliane mkuu nipo