Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna kundi la wahuni kwenye hicho chama leo wamejifungia chumbani na kumteuwa Mtulia kuwa ndio mgombea wao bila kura za maoni.Si alisema atagombea Ubunge Kinondoni kupitia CHAMA!
Ni kweli kabisaHata yakiwa majimaji yana ukimwi mdudu wa ukimwi haingii kwenye vinyweeo, hata jasho basi lingeambukiza. Ila mpaka usex upate mchubuko. Kama wewe huwa unabaka wanawake basi upo hatarini. Ila mm naweza kusex na mwathirika na nikatoka salama.. Kumbuka kuna wananndoa unakuta mwanamke ana ngoma mume mzima wanasex vizuri tu na mke anabeba mimba na kuzaa hata mara nne ila mwanaume anabakia kuwa mzima. So kabla ya ku urge jaribu kufikiria. Halafu nifundishe jinsi ya kubold, na kubadili rangi
Kufa kufaaanaHiyo ndiyo roho mbaya yenyewe sasa[emoji23]
Wewe nakushauri tuu ukatafute majarida na vipeperushi ukasome kuhusu ukimwi na njia za maambukizi.......bado hujui mambo mengi kuhusu Ukimwi. Sio mpaka upate mchubuko ndio upate virusi....hukun ni kujidanganya....nenda kasome kijana.... si damu pekee ndio hubeba virusi vya ukimwi kasome tena uache kujidanganya na kudanganywa.Hata yakiwa majimaji yana ukimwi mdudu wa ukimwi haingii kwenye vinyweeo, hata jasho basi lingeambukiza. Ila mpaka usex upate mchubuko. Kama wewe huwa unabaka wanawake basi upo hatarini. Ila mm naweza kusex na mwathirika na nikatoka salama.. Kumbuka kuna wananndoa unakuta mwanamke ana ngoma mume mzima wanasex vizuri tu na mke anabeba mimba na kuzaa hata mara nne ila mwanaume anabakia kuwa mzima. So kabla ya ku urge jaribu kufikiria. Halafu nifundishe jinsi ya kubold, na kubadili rangi
Maulizo yamekaa kipovu sio, [emoji16]Ukijua hili ni jukwaa lipi povu haliruhusiwi kabisa
[emoji23] [emoji23]Kufa kufaaana
Homa ya Ini ina chanjo.......pia ikiwa chronic unapewa ARVS utumie... wengi hufananisha Homa ya Ini na Ukimwi maana nayo pia inaweza kupatikana hasa kwa njia ya ngono.Ni kweli kabisa
Homa ya ini babeeeeki ndio balaa haina hata dawa za kurefusha maisha
Samahani eti kuna mwanamiziki alikufaga miaka ya nyuma kidogo kipindi anaugua alimtaja Steve, Choki na Mr. Nice alizaa nae kuwa wako kwa fileni?Hataki kufa peke yake
Kuweka rangi sasaWewe nakushauri tuu ukatafute majarida na vipeperushi ukasome kuhusu ukimwi na njia za maambukizi.......bado hujui mambo mengi kuhusu Ukimwi. Sio mpaka upate mchubuko ndio upate virusi....hukun ni kujidanganya....nenda kasome kijana.... si damu pekee ndio hubeba virusi vya ukimwi kasome tena uache kujidanganya na kudanganywa.
Maji maji yanayo beba virusi vya ukimwi
: Damu
:Maziwa ya mama
:Shawaha
:Maji maji ya uke
:Ute wa Uume
Hapo umekosea, maradhi hayana itikadi Mkuu, wewe mzima shukuru mungu, hujafa hujaumbika, wahenga walinenaHuo ndio mshahara wa dhambi ya kutetea CCM
Kipovu mkuuMaulizo yamekaa kipovu sio, [emoji16]
Mwanamuziki tena ni nani huyo mkuuSamahani eti kuna mwanamiziki alikufaga miaka ya nyuma kidogo kipindi anaugua alimtaja Steve, Choki na Mr. Nice alizaa nae kuwa wako kwa fileni?
Mimi ninao ushahidi wa wanandoa mume ameathirika lakini mke hana maambukizi, na walipima baadaye sana baada ya jamaa kuumwa sana.Umenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.
Katika jambo amabo naweza kusema serikali inapswa kupewa lawama hakika ni kwenye homa ya Ini yani wameichukulia poa sana tena sana utafikiri si tatizo kubwa lakini ukisoma report ya mwaka jana ya Ukimwi...trust me Homa ya Ini ni hatari kuliko ukimwi maana hii hata kwa mate tuu ina ambukiza..Hiyo chanjo ni bure?mbona hawahamisishi watu wakaipime
Ni steve wa bongo movie,anaumwa sana za chini ya kapeti na imefanywa siri lo ila shishiii ndio katujulishaView attachment 669683 yakaibuka mengine tena View attachment 669684 binti analalama,,sina mengi leo
Basi utakuwa mjeda etiNdivyo nilivyo Mkuu usiogpe, ukakamavu umezidi [emoji16]
Hiyo ni nyingi mbona unakuta mwanaume hana mke wake anao na wamekaa miaka kumi na watoto wawili ,,hizo kesi nyingi sana hosptaliMimi ninao ushahidi wa wanandoa mume ameathirika lakini mke hana maambukizi, na walipima baadaye sana baada ya jamaa kuumwa sana.
Kwahiyo do ur research again, hii imekaa kiccm sana. Full magumashi.