Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahahaha Mimi nilikua najua nimwanamke maana kuna Uzi alikua anachangia km Ke ,, nikajua ni Ke..... Kumbe ni Me ??..Sasa nilivyoona darleen nikajua moja kwa moja ni jina la kike,,we ulijua la kiume? Sasa alivyosema amekitembeza kwa mashori ndio nikajua kumbe dume
Najua unanipendamo ila kua makini na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mim jitu bayaaaaa
Jf inavisanga Dina!!.....Ngosha mie nakupendamo hivo hivo ..sisi mangosha hatutupani [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Ngosha cheupee