Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

jf hataree kinyama

~wapo wanaowadanganya wenzao,waingiemo kichwa kichwa

~wapo ambao kupima HIV ni haramu

~kuna +ve kibao wamekazana oohh ngoma ni historia

~wapo -ve,ambao hawaelewi waendelee na condom au nyama nyama

~wengine daily wanakula ARVs hata hawaelewi waendelee nazo ama waache

Comments zinaongea
 
Wakati mnakata viuno kule Chimwaga huwa mnakumbuka kuwaeleza haya? Au akili huwa zimehamia kwenye bahasha za kaki tu?
 
Wewe umepima?
 
Samahani eti kuna mwanamiziki alikufaga miaka ya nyuma kidogo kipindi anaugua alimtaja Steve, Choki na Mr. Nice alizaa nae kuwa wako kwa fileni?
Nahisi diana alikua mnenguaji aliwataja wengi na kweliii,,hiv stone banza yupo kweli
 
Nakubaliana na wewe katika ukweli huo.
 
Ila MUJINI kujulikana wakati mwingine raha sana hasa kama unaishi vizuri na watu maana wanaweza kabisa kukuepusha na mabalaa chungu nzima ikiwemo hili la kugusa mawayawaya.
 
Mimi ninao ushahidi wa wanandoa mume ameathirika lakini mke hana maambukizi, na walipima baadaye sana baada ya jamaa kuumwa sana.

Kwahiyo do ur research again, hii imekaa kiccm sana. Full magumashi.
Mkuu naomba usiingize siasa kwenye huu mjadala kama nitakuwa nadanganya haina uhusiano na Uccm.... swala lako hilo ulilo litolea mfano linaweza tokea lakini haliwezi kuwa limesababishwa na kutotokea mchubuko..... yani maana yake ni damu pekee ndio hubeba virusi vya ukimwi?
Hebu nenda kagoogle ni vitu gani hubeba virusi vya ukimwi kwenye mwili wa binadamu ukiacha damu?
 
Shahawa hapana,, ingekua shahawa zina virusi mimba zingekua na virusi,,kasome tena hapo
 
Shahawa hapana,, ingekua shahawa zina virusi mimba zingekua na virusi,,kasome tena hapo
Wewe ndio ukasome tena hapa na uje uniambie ni vitu gani ndani ya mwili wa binadamu hubeba virusi vya ukimwi?
Kwa taarifa tuu kuna utofauti mkubwa kati ya shahawa na mbegu.....mimba hutungwa na mbengu... Shahawa husaidia kusafirisha mbegu hadi mji wa mimba...

Hebu nielimishe ni vitu gani ndani ya mwili wa binadamu hubeba virusi vya Ukimwi?
 

Utohamini= hutoamini
Utajili= utajiri

We mangi huu ujinga wa kukosea kosea kiswahili utaacha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…