Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mnakata viuno kule Chimwaga huwa mnakumbuka kuwaeleza haya? Au akili huwa zimehamia kwenye bahasha za kaki tu?Katika jambo amabo naweza kusema serikali inapswa kupewa lawama hakika ni kwenye homa ya Ini yani wameichukulia poa sana tena sana utafikiri si tatizo kubwa lakini ukisoma report ya mwaka jana ya Ukimwi...trust me Homa ya Ini ni hatari kuliko ukimwi maana hii hata kwa mate tuu ina ambukiza..
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji16][emoji16][emoji16]Basi utakuwa mjeda eti
Wewe umepima?jf hataree kinyama
~wapo wanaowadanganya wenzao,waingiemo kichwa kichwa
~wapo ambao kupima HIV ni haramu
~kuna +ve kibao wamekazana oohh ngoma ni historia
~wapo -ve,ambao hawaelewi waendelee na condom au nyama nyama
~wengine daily wanakula ARVs hata hawaelewi waendelee nazo ama waache
Comments zinaongea
Nakubaliana na wewe katika ukweli huo.Katika jambo amabo naweza kusema serikali inapswa kupewa lawama hakika ni kwenye homa ya Ini yani wameichukulia poa sana tena sana utafikiri si tatizo kubwa lakini ukisoma report ya mwaka jana ya Ukimwi...trust me Homa ya Ini ni hatari kuliko ukimwi maana hii hata kwa mate tuu ina ambukiza..
Pambaf! Kwanini hukumwambia avae condom?Ni steve wa bongo movie,anaumwa sana za chini ya kapeti na imefanywa siri lo ila shishiii ndio katujulishaView attachment 669683 yakaibuka mengine tena View attachment 669684 binti analalama,,sina mengi leo
Mkuu naomba usiingize siasa kwenye huu mjadala kama nitakuwa nadanganya haina uhusiano na Uccm.... swala lako hilo ulilo litolea mfano linaweza tokea lakini haliwezi kuwa limesababishwa na kutotokea mchubuko..... yani maana yake ni damu pekee ndio hubeba virusi vya ukimwi?Mimi ninao ushahidi wa wanandoa mume ameathirika lakini mke hana maambukizi, na walipima baadaye sana baada ya jamaa kuumwa sana.
Kwahiyo do ur research again, hii imekaa kiccm sana. Full magumashi.
Ni lini uliwahi kucheck afya ya kinywa chako?umepaniki
Mkuu kucheki afya ni muhimu
Shahawa hapana,, ingekua shahawa zina virusi mimba zingekua na virusi,,kasome tena hapoWewe nakushauri tuu ukatafute majarida na vipeperushi ukasome kuhusu ukimwi na njia za maambukizi.......bado hujui mambo mengi kuhusu Ukimwi. Sio mpaka upate mchubuko ndio upate virusi....hukun ni kujidanganya....nenda kasome kijana.... si damu pekee ndio hubeba virusi vya ukimwi kasome tena uache kujidanganya na kudanganywa.
Maji maji yanayo beba virusi vya ukimwi
: Damu
:Maziwa ya mama
:Shawaha
:Maji maji ya uke
:Ute wa Uume
Samahani eti kuna mwanamiziki alikufaga miaka ya nyuma kidogo kipindi anaugua alimtaja Steve, Choki na Mr. Nice alizaa nae kuwa wako kwa fileni?
Wewe ndio ukasome tena hapa na uje uniambie ni vitu gani ndani ya mwili wa binadamu hubeba virusi vya ukimwi?Shahawa hapana,, ingekua shahawa zina virusi mimba zingekua na virusi,,kasome tena hapo
Ogopa sana magonjwa haya, Cancer, Stroke, kisukari, Maralia na umaskini.
Ukimwi si miongoni mwa magonjwa hatari na soon tiba na kinga yake vitakuwa verified.
Ukifika South Africa na ukipewa takwimu za wenye ukimwi utohamini macho yako wale mademu wa kule wanavyopendeza na neema za Allah.
Kinachotugharimu Watanzania na ugonjwa wa ukimwi ni lishe duni tu na si vinginevyo, Wasouth Africa kwenye swala la misosi ni basic humanitarian needs, kula nyama kila siku si utajili kwao. Ukimwi upo South Africa asikudanganye mtu lakini wako poa na wanakula good time.