tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kupita na kuondoka michubuko haitokei mkuu?Nliambiwa na kaka yangu yupo wizara ya afya kwamba ugonjwa wa ukimwi sio tishio tena africa maana miili imeshajenga immunity ya kupambana nao. So ili mtu uugue labda uambukizwe zaidi ya maramoja. Ila ya kupita tu na kuondoka ni ngumu sana.
[emoji109]Hapa ndipo nilipokua nataka...Watu muache unafiki , namuwe wawazi .hakikisha unakua mstari wambele kuhakikisha Unasema kile ambacho kitakomboa nguvu kazi.
Watu 1.2 M Tanzania saizi wanangoma,, MNAJUA SERIKALI INALIPIA SHILINGI NGAPI ??????.
alafu mnapatikana watu wa kuudogosha huo ugonjwa kiasi kwamba uonekane sio kitu ,,Kwa faida IPI ?????
Ndo maana mnanipaga mashaka sanaa !!!.
Ukiona mtu anaudogosha ukimwi kuna mawili either anao ? Au hana ila anajijua ni mpenda ngono sanaaaa alafu nimuoga wa kucheki Afya sasa anajitahidi kujipa ujasiri "nko poa*!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Kifo ni kifo lakini inategemeana ni kifo cha aina gani mkuu.Kwani kuna atakaye ishi milele jamani, kufa ni moja ya maisha, kwanini watu wanaogopa kufa wakati ndio part ya maisha ?
Kweli mkuu.Ukimwi upo kmamamake hata tukijifariji hauui haraka ila kitendo cha kufa nao ni aibu kwa familia.
Itakuwa hatari sana...Bongo movie wengi wako kwenye gridi ya taifa halafu wanaona umalaya dili yani dah. Sipati picha kama sepenga anao atakuwa kaondoka na wangapi!
Si wanatafuta member wapya mkuu [emoji3]. Hatari sana.Alafu siku hzi wenye ngoma ndio wanafya nzuri wametakata ukiambiwa ana ngoma unabisha. Chakusikitisha zaidi sio wachoyo wa K kabisa
Haha noma sanaSi wanatafuta member wapya mkuu [emoji3]. Hatari sana.
Wawe na huruma hata chembe.Haha noma sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wawe na huruma hata chembe.
Acha kutetea upumbavu ...kama alikua anajua anaugua kwanini hakumlinda huyo mwanamke hatimaye akamuambukiza makusudi na zaidi akaona haitoshi akaenda kwa mdogo wake kifup alikusudia kuwaua woteAjabu ipi, kuumwa ni dhambi?, hujawhi kuugua?, au kuuguza?, na kuugua sio kufa, pengine unalako jambo kuhusu huyu jamaa
Dah akili za wapi hiziAlipigwa nyama Wakati kinga zipo, pengine yeye ndo kamuua Steve
Akili ya kuambiwa changanya na zako, hao naamini wamefanya tendo la ndoa wakiwa above 18,wanajua baya na zuri, wamekubali kuchangnywa bila kinga, ni wapuuzi wa kiwango cha rami, siwaonei huruma hata kidogo, iwe lesson kwenuAcha kutetea upumbavu ...kama alikua anajua anaugua kwanini hakumlinda huyo mwanamke hatimaye akamuambukiza makusudi na zaidi akaona haitoshi akaenda kwa mdogo wake kifup alikusudia kuwaua wote
acha kuongea upuuzi
Hahaha lesson kwa huyo mwana ccm na wengine aweke wazi kwamba anaumwa gonjwa aombeweAkili ya kuambiwa changanya na zako, hao naamini wamefanya tendo la ndoa wakiwa above 18,wanajua baya na zuri, wamekubali kuchangnywa bila kinga, ni wapuuzi wa kiwango cha rami, siwaonei huruma hata kidogo, iwe lesson kwenu
Crush wangu yule ha ha ila wanawake maamuzi yenu sometimes mnayajua mwenyewe, Welu & Steve BIG NOOOOHalaf yule mdada mzuriii jamani
Kuna andiko ambalo nimeandika namuonea huruma bongo muvi? , ni nukuu kama nimefanya hivyoHahaha lesson kwa huyo mwana ccm na wengine aweke wazi kwamba anaumwa gonjwa aombewe
na pia usiwaonee huruma hao wadada unaosema ni wapuuzi bali pia usimuonee huruma na huyo bongomuvi