Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Nliambiwa na kaka yangu yupo wizara ya afya kwamba ugonjwa wa ukimwi sio tishio tena africa maana miili imeshajenga immunity ya kupambana nao. So ili mtu uugue labda uambukizwe zaidi ya maramoja. Ila ya kupita tu na kuondoka ni ngumu sana.
Kupita na kuondoka michubuko haitokei mkuu?
 
Hapa ndipo nilipokua nataka...Watu muache unafiki , namuwe wawazi .hakikisha unakua mstari wambele kuhakikisha Unasema kile ambacho kitakomboa nguvu kazi.

Watu 1.2 M Tanzania saizi wanangoma,, MNAJUA SERIKALI INALIPIA SHILINGI NGAPI ??????.

alafu mnapatikana watu wa kuudogosha huo ugonjwa kiasi kwamba uonekane sio kitu ,,Kwa faida IPI ?????

Ndo maana mnanipaga mashaka sanaa !!!.

Ukiona mtu anaudogosha ukimwi kuna mawili either anao ? Au hana ila anajijua ni mpenda ngono sanaaaa alafu nimuoga wa kucheki Afya sasa anajitahidi kujipa ujasiri "nko poa*!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
[emoji109]
 
Ajabu ipi, kuumwa ni dhambi?, hujawhi kuugua?, au kuuguza?, na kuugua sio kufa, pengine unalako jambo kuhusu huyu jamaa
Acha kutetea upumbavu ...kama alikua anajua anaugua kwanini hakumlinda huyo mwanamke hatimaye akamuambukiza makusudi na zaidi akaona haitoshi akaenda kwa mdogo wake kifup alikusudia kuwaua wote
acha kuongea upuuzi
 
Akili ya kuambiwa changanya na zako, hao naamini wamefanya tendo la ndoa wakiwa above 18,wanajua baya na zuri, wamekubali kuchangnywa bila kinga, ni wapuuzi wa kiwango cha rami, siwaonei huruma hata kidogo, iwe lesson kwenu
 
Hahaha lesson kwa huyo mwana ccm na wengine aweke wazi kwamba anaumwa gonjwa aombewe
na pia usiwaonee huruma hao wadada unaosema ni wapuuzi bali pia usimuonee huruma na huyo bongomuvi
 
Hahaha lesson kwa huyo mwana ccm na wengine aweke wazi kwamba anaumwa gonjwa aombewe
na pia usiwaonee huruma hao wadada unaosema ni wapuuzi bali pia usimuonee huruma na huyo bongomuvi
Kuna andiko ambalo nimeandika namuonea huruma bongo muvi? , ni nukuu kama nimefanya hivyo
 
Back
Top Bottom