Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Ni lini uliwahi kucheck afya ya kinywa chako?



kila nikiona I'D ya Matola,huwa inanikumbusha lile kundi LA bongo flavor,walijiita Uswahilini Matola..

BTW..ni mwaka Jana tu,nilicheki kinywa na dokta alingoa jino
 
Wewe ndio ukasome tena hapa na uje uniambie ni vitu gani ndani ya mwili wa binadamu hubeba virusi vya ukimwi?
Kwa taarifa tuu kuna utofauti mkubwa kati ya shahawa na mbegu.....mimba hutungwa na mbengu... Shahawa husaidia kusafirisha mbegu hadi mji wa mimba...

Hebu nielimishe ni vitu gani ndani ya mwili wa binadamu hubeba virusi vya Ukimwi?
Kiufupi sperm=shahawa
Semen=Maji Maji ya uume

Mi hata sikubishaniii naongea ukweli,, ndio mana hayo Mengine uliyo mention sijayabishia ,,sasa km unafikiri tunatafuta mshindi hapa,sipo huko. Sio kila kitu lazima ujue kubali kukosolewa
 
jf hataree kinyama

~wapo wanaowadanganya wenzao,waingiemo kichwa kichwa

~wapo ambao kupima HIV ni haramu

~kuna +ve kibao wamekazana oohh ngoma ni historia

~wapo -ve,ambao hawaelewi waendelee na condom au nyama nyama

~wengine daily wanakula ARVs hata hawaelewi waendelee nazo ama waache

Comments zinaongea
Komenti zinaongea mkuuu ....
 
207cb49d40efc1e7887e29d9323e5fe4.jpg
edf46ae3ed2b288fa4cf7916231f20e9.jpg

73f2689be1d559a0972b1b1a02e8e793.jpg


Wakuu,jamaa hata akipona tayari jina limechafuka,,cdm wamewasha moto huko wanadai aliikashifu afya ya kipenzi cha roho zao
 
Alafu siku hzi wenye ngoma ndio wanafya nzuri wametakata ukiambiwa ana ngoma unabisha. Chakusikitisha zaidi sio wachoyo wa K kabisa
 
Acha uongo ......Botswana Rate ya maambukizi nikubwa ila sio kwamba waathiriwa wanawazidi wasoathiriwa !!...na sababu kubwa ya maambukizi kule sio ngono...

Mila nadesturi zao !!.
Mkuu jamaa yupo sahihi Botswana na Swaziland idadi ya walioambukizwa ni wengi kuliko walio salama hasa kwa upande wa wanawake ngoja nikutafutie source
 
Back
Top Bottom