Mzee wa miaka 85 afungiwa mahubusu siku 3 bila chakula

Mzee wa miaka 85 afungiwa mahubusu siku 3 bila chakula

Kwa hiyo mwenyekiti hana hatia yoyote kwa huo ujinga alioufanya?

Maana mpaka mwisho wa habari sijaona sehemu ambayo mwenyekiti amewajibishwa licha ya kukiri kumfungia huyu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti toka chama tawala na mkuu wa police kashindwa kumuwajibisha.
 
Ninyi Wenyeviti Mnaweza Kumwajibisha Hata Mkuu Wa Wilaya
 
Hata wanaye nahis wastaarabu sana!...baba yangu umfanyie hivi? Aisee..nanunua petrol...
Hatuwezi jua mkuu nini kitatokea baadae maana kumbuka mzee ametokea kijiji kingine so hatujui watoto wake watachukua hatua gani baada ya kupata taarifa za alichofanyiwa baba yao. Busara zinahitajika
Kiufupi inauma sana
 
Kwa hiyo mwenyekiti hana hatia yoyote kwa huo ujinga alioufanya?

Maana mpaka mwisho wa habari sijaona sehemu ambayo mwenyekiti amewajibishwa licha ya kukiri kumfungia huyu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenyekiti wa mtaa ni Mwakilishi wa Mkuu wa nchi katika mtaa wake anaouongoza.
 
kiukweli viongozi uwa wanajisahau kabisa kuwa wamechaguliwa na wananchi.huku kwetu kuna kwenyekiti nae anatabia kama izo,anapita kila nyumba kudai ela ya taka ambayo ni Tsh 3000 kama hauna basi anakuchukua mpaka ofisini kwake.mkishakuwa wengi anapiga simu porisi wampelekee cruiser,anawasomba wote anawapeleka porisi.kutoka mpaka elfu 50,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom