Mwenyekiti toka chama tawala na mkuu wa police kashindwa kumuwajibisha.Kwa hiyo mwenyekiti hana hatia yoyote kwa huo ujinga alioufanya?
Maana mpaka mwisho wa habari sijaona sehemu ambayo mwenyekiti amewajibishwa licha ya kukiri kumfungia huyu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kama namuona mzee alivyochoka baada ya hizo siku tatu bila chakula na umri huo.
Hatuwezi jua mkuu nini kitatokea baadae maana kumbuka mzee ametokea kijiji kingine so hatujui watoto wake watachukua hatua gani baada ya kupata taarifa za alichofanyiwa baba yao. Busara zinahitajikaHata wanaye nahis wastaarabu sana!...baba yangu umfanyie hivi? Aisee..nanunua petrol...
Kwa hiyo mwenyekiti hana hatia yoyote kwa huo ujinga alioufanya?
Maana mpaka mwisho wa habari sijaona sehemu ambayo mwenyekiti amewajibishwa licha ya kukiri kumfungia huyu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app