Uchaguzi 2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

Wamekosa vijana wapinzani wa kweli?

Huyo naomba kituo atakachosimamia baada ya uchaguzi mtuletee Hapa muone jinsi gani Kituo hicho kilivyoangushw vibaya na wagombea wa CCM

Ni swala la muda Tu, tena hao wanaojitolea ni wa kuwaepuka kuliko wale mnaokwenda kuwatafuta ninyi,

Mtajuaje kama Rushwa imeanzia huko ili Tu wajitolee na nyinyi kuona ni Jambo la kishujaa, kumbe walishaandaliwa Kwa mfumo wa wao kujitokeza kusema wako tayari kulinda Kura zenu?

Yote Kwa yote, JPM hazuiliki
 
Hivi msaliti ndio nani na ufanye nini ili uwe msalinti?. Toa mifano yako na mimi nitoe yangu kwa upande wa huyo wako.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hata akisimamia Robert, hatuwezi kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu
 
Hivi msaliti ndio nani na ufanye nini ili uwe msalinti?. Toa mifano yako na mimi nitoe yangu kwa upande wa huyo wako.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Achana na huyo dada, Anampenda sana Lissu sio kidogo make haishi kumtaja kila sekunde na kwenye kila post au comments zake, halali kabisa sabu ya TAL.... Yaani kamwingia ndani kunako mtima wake mpaka hajielewi...
 
Magoli ya mkono mnayatengeneza wenyewe alafu mnalaumu.
huyu mzee ndo atakuwa mlango wa kupitia.
 
Huyo mzee hana cha kupoteza mpaka hapo hivyo chochote kinaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom