Uchaguzi 2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.

View attachment 1608071
Kwani kuna sheria inamkataza asiwe wakala?

Kama ni mtanzania na anakaidhi vigezo kuna kizuizi asiwe wakala wenu?

Naona umetoka katika kupungukiwa akili sasa inakuruka kabisa
 
Ana miaka 90 lakini anaweza kusimama dakika 20 bila feni nyuma.
 
Hii inaweza kuchukuliwa kipole pole lakini ikawa silaha pia.... huyu mzee, askar mstaafu, maana yake aliitumikia serikali lakini mwishowe akadhulumiwa, hivyo inaleta ujumbe kwamba serikali iliyopo haitendi haki.... na ili upate haki unatakiwa uitafute nje ya serikali iliyopo.

PICHA INAYOTAKIWA KUONWA: Nyie wote mnaoitumikia serikali sasa kufa na kupona mkidhani inawasaidia mmemumia... chagueni mbadala mpate haki zenu maana waliopo madarakani kwa sasa wapo kwa maslahi yao na familia zao tu, huyo mzee ni muhanga na mfano kwa wengine hasa maaskari.

Tar 28/10 msifanye utani na maisha yenu ya baadae...... uvumilivu wenu utawaponza.

Hata wakichagua mbadala mwisho wa siku lazima waitumikie serikali
 
Kuna Mzee mmoja ana miaka 87 anakiri kuwa kwa hali ilivyo hatukuwa na sababu ya kuukataa utawala wa mzungu.
Nilipouliza kwa nini,akasema mzungu alikuwa na utu licha ya kuwa tumeaminishwa kuhusu ubaya wake tu.

Alitoa hoja kuwa iwapo mzungu angekuwa na roho mbaya kama za watawala wa sasa wa Afrika,Nyerere asingesomeshwa.
Yeye alisomeshwa pia ila walitoza ada kulingana na uwezo wa mzazi.Kila mtu alipata haki ya kusoma iwapo tu alikuwa tayari.

Pia walichonga barabara imara sana kwa enzi hizo.Walijenga reli ya kati,na wangeendelea kuwepo huenda nchi yetu leo ingekuwa kama south Afrika.

Wazee wana machungu sana kuliko sisi.
 
Ukiona Askari anaishi maisha magumu baada ya kustaafu usimuonee huruma huyo analipwa matendo yake mabaya aliyowatendea watz wakati wa utumishi wake.
 
Kuna Mzee mmoja ana miaka 87 anakiri kuwa kwa hali ilivyo hatukuwa na sababu ya kuukataa utawala wa mzungu.
Nilipouliza kwa nini,akasema mzungu alikuwa na utu licha ya kuwa tumeaminishwa kuhusu ubaya wake tu.

Alitoa hoja kuwa iwapo mzungu angekuwa na roho mbaya kama za watawala wa sasa wa Afrika,Nyerere asingesomeshwa.
Yeye alisomeshwa pia ila walitoza ada kulingana na uwezo wa mzazi.Kila mtu alipata haki ya kusoma iwapo tu alikuwa tayari.

Pia walichonga barabara imara sana kwa enzi hizo.Walijenga reli ya kati,na wangeendelea kuwepo huenda nchi yetu leo ingekuwa kama south Afrika.

Wazee wana machungu sana kuliko sisi.
I
Lipo wazi hilo sema wanufaika hawawezi kukuelewa,elimu,afya vilikuwa bora kabisa,ajira tele,hata Nyerere alivyoenda kusoma Uingereza darassni kwake alisoma na wanigeria zaidi ya 60.Mwafrika ameanza kuishi maisha magumu Sana baada ya Uhuru.
 
Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.

View attachment 1608071
Vijana tuliopo "active in service" tunamuunga mkono kwa kufanya kile kilicho ndani ya uwezo wetu kupambania haki ya Watanzania. Mwenyezi Mungu awe na askari na maofisa wote wa JWTZ na Police Tanzania ambao wanaunga mkono juhudi za kupambania haki na ukombozi
 
🙏🏾
 
Back
Top Bottom