Mzee wa Ukoo aleta mtafaruku msibani baada ya kutoa kauli tata

Hakuna kitu kinaitwa kufuta kauli kwakuwa maneno ni kama risasi hayana rivasi yakitoka yametoka

Kwa hiyo tunavyo taka na kusema nayafuta maneno, God forbid n.k. Inakuwaje hapo?

Maana Mzee huyo hayo ni matendo anapanga kufanya si ndio? Na ni tofauti na kusema neno ujapangia kufanya au? .. Nambie Kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…