Mzee wa Ukoo aleta mtafaruku msibani baada ya kutoa kauli tata

Hiyo ni placebo ya kumtisha kaka wa shangazi aachie mashamba, hamna kitu, hata mkienda polisi hawataweza kumfungulia mashtaka yeyote maana hakuna ushahidi wowote endapo atasema alikuwa amelewa wakati anaongea hayo..
 
Wangemrekodi na kumpeleka polisi.
Walikataa kumpeleka polisi wakasema watamalizana naye kiukoo na ndivyo walivyofanya...

Kikao kilichofanyika leo kimefikia uamuzi wa kumvua cheo cha mzee wa ukoo baada ya mzee kukiri makosa na kuomba msamaha.
 
Bila shaka huko hakunaga wazee wa ukoo, Marangu nimeshuhudia kwa macho yangu wazee wa ukoo wapo.

Nimekaa Kilema kwe ajili ya msiba wa shangazi kwa siku 3, wamarangu wanawatumia sana hao wazee wa ukoo.
 
Bila shaka huko hakunaga wazee wa ukoo, Marangu nimeshuhudia kwa macho yangu wazee wa ukoo wapo.

Nimekaa Kilema kwe ajili ya msiba wa shangazi kwa siku 3, wamarangu wanawatumia sana hao wazee wa ukoo.
Wapo wazee wa ukoo lakin huwez kuongea au kufanya ujinga watu wakuchekee. Mkibosho ili uishi nae kuwa makin na unachoongea na kutenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…