Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Yan mtu anajikusanya ikifika jumapili anaenda kumpa Sadaka alaf yey anakja kwenye media anaanza kuropoka et kama huna hela ww n Fala!! Sas si anawatusi waumini wake?
Anawaonyesha namna alivyo mbunifu kupata pesa.
 
Naunga mkono hoja, umasikini ni ufala kabisa.
Umasikini unatoka kwa shetani, umasikini ni roho.
Maandiko matakatifu yanasema, mpingeni shetani naye atawakimbia.
Roho nyingine zitokazo kwa shetani zinazoambatana Na umasikini ni maradhi n ujinga
Wewe ni muumini wa Injili ya mafanikio? Umasikini unaweza kuwa ni matokeo ya laana, lkn hakuna mahali popote kwenye Biblia panaposema masikini wataisha au waamini wote lazima watajirike.

Vv
 
Wewe ni muumini wa Injili ya mafanikio? Umasikini unaweza kuwa ni matokeo ya laana, lkn hakuna mahali popote kwenye Biblia panaposema masikini wataisha au waamini wote lazima watajirike.

Vv
Damu ya Yesu KRISTO ilivunja laana zote kwa walio tayari kukombolewa. Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona
 
Nimeangalia kwenye kamusi maana ya Neno "Fala"
fala
(also: mjinga)
fool
Hajakosea.Ni kweli umaskini unatoka na Ujinga/Fool
 
Makanisa mengi mjini yamefanya imani za watu kua chanzo cha mapato.
IMG_20180529_132130_909.jpg
 
Back
Top Bottom