aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Mzee wa upako baada ya kuona wasafi tv kuna kipindi cha nyumba ya imani nayeye akaomba awe anaendesha kipindi chake siku ya jumapili lakini ombi hilo limekataliwa na Mshauri wa vipindi na uendeshaji bibie zamaradi mketema kwa maelekezo ya mwenye hisa nyingi