Mzee wa upako anyimwa kipindi WASAFI TV

Mzee wa upako anyimwa kipindi WASAFI TV

SASA WANAUTOFAUTI GANI NA CLOUDS NA RUGE.WASAFI NI WANAFIKI TU.SI WANASEMA NI YETU SOTE.KWA NINI WAMBANIE.

NASIKIA KUNA UDINI KWENYE HIYO KAMPUNI BALAAAA.
 
Mzee wa upako baada ya kuona wasafi tv kuna kipindi cha nyumba ya imani nayeye akaomba awe anaendesha kipindi chake siku ya jumapili lakini ombi hilo limekataliwa na mkurugenzi wa vipindi na uendeshaji bibie zamaradi mketema kwa maelekezo ya mwenye hisa nyingi
Ungeenda ITV au TBC kipo kindi cha tumuabudu Mungu.
 
Ni jambo la aibu kwa kijana mdogo kama wewe kuendeshwa kwa mawazo ya kidini.

Kwenye hisa nyingi Wasafi Media ni Joseph Kusaga hivi unayo hii habari?!
 
Mzee wa upako baada ya kuona wasafi tv kuna kipindi cha nyumba ya imani nayeye akaomba awe anaendesha kipindi chake siku ya jumapili lakini ombi hilo limekataliwa na mkurugenzi wa vipindi na uendeshaji bibie zamaradi mketema kwa maelekezo ya mwenye hisa nyingi
Post yako ina element ya udini, naona watu hawajagundua hilo...

Huyu jamaa ni wumbwa kabsa kufitinisha kupitia dini tu.

Huyu kila palipo wcb kuna udini
Jinga kabisa
 
Write your reply...Mzee wa Upako afya imedorora sana hadi suti zinampwaya na midomo imekuwa myekunduuu
 
Write your reply...Mzee wa Upako afya imedorora sana hadi suti zinampwaya na midomo imekuwa myekunduuu
 
SASA WANAUTOFAUTI GANI NA CLOUDS NA RUGE.WASAFI NI WANAFIKI TU.SI WANASEMA NI YETU SOTE.KWA NINI WAMBANIE.

NASIKIA KUNA UDINI KWENYE HIYO KAMPUNI BALAAAA.
Eeeenh udini tena?
 
Back
Top Bottom