Mzee wa Upako: 'Tano Tano', 'Kusanya Kusanya'

big result now

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Muda huu sasa hv, leo tarehe 21/03/2015 naangalia mahubili ya mzee wa upako,hahahahaaaaa huyu mzee ana mapambio mapya maana sijawah kuyasikia sehemu yoyote, hili la leo ndo limeniacha hoi, anaimbisha ...

TANO TANO EEEEH ....

KUSANYA KUSANYA ......

Kapambio kanaendelea huku waumini wanapita wanampa tano (ile salamu ya kukunja ngumi), afu na sh 5000 huku anaimbisha TANO TANO EEEEH, KUSANYA KUSANYA ...

Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
we wacheka mwenzio aingiza siku
 
Hahahaaa, na watu wanampa 'tano' kweli tena kwa wingi! Watu wana pesa za mchezo!
 
Jamani haya makanisa yatutoa roho leo nilikuwa naagalia startv mara nikaona kuna nabii anaitwa joel (kama sijakosea )alikuwa anasema eti ameingiliwa na wachawi laki saba na 80 hotelini alikokuwa amelala!!! Yaani nimewaza sana hivi kwl inawezekana kwl????
 
Mkuu hata mm nimestaajabu ya Musa,kuona hii kitu ya mchungaji kuwapa tano waumini wake madhabahuni,gonga gwara,chukua/take 5 zile za masela,
 
ata me nmemchek yn kama n kwl bc kamzd ad yle prophet wa nigeria
 

Hahahaha aliwahesabuje??? Duh huyu jamaa ana roho ya calculation
 
yaani yaani haya makanisa mmmh ila mtoa mada umechelewa kuitoa habari....
yaanni ndo zake kama hamuamii kesho si jpili nendeni na bukubuku kama mtaombewa sawasawa au kushikwa mkono sawa na mwenye kuanzia 5 na kuendelea na unafumbuliwa mkono kuihakikisha ipo siku nitakuja kuwasimulia nilichoona....sasa naona kuepusha wakuda kama ivi huwa vipende ivyo havirekodiwi ila mze wa upako ANATISHA ZAIDI YA NJAA.EBU ATUBU JAMANI MASIKINI NAMNA ILE UNAWALAINISHA NA KAPAMBIO JUU MNYAKYUSA MWENZANGU INATOSHA hata kama watu wameenda wenyewe kumbuka ni shida na mtu anajikuta hajilewi...ukitoa zaidi ndo utatajirika na ushuhuda juu,,,,,,..........ACHA BWANA MUOGOPE MUNGU.
 
Aaah safi kabisa kwani kamlazimisha mtu? Mi3 ananikosha tu kilauri kama kawa, anasema mwonyeshe wapi walipoandika kuwa ni dhambi.Safiiii
 
Aaah safi kabisa kwani kamlazimisha mtu? Mi3 ananikosha tu kilauri kama kawa, anasema mwonyeshe wapi walipoandika kuwa ni dhambi.Safiiii

Mzee wa upako anapiga monde au sijakuelewa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…