Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwa hiyo mliofanya biashara yeyote mkipata hela hadi muulize biashara ya kufanya?Wala sio ajabu labda wewe haujawahi kufanya biashara yeyote ndio maana unashangaa hilo
Yaani wewe mzoefu wa biashara hujui kuwa biashara inategemea factors nilizotaja?
Wewe unadhani kila mtu anaweza kufanya biashara yeyote tu?
Hujui kuwa biashara inaweza kutegemea elimu ya mtu, ujuzi, experience, hadi marital status?
Pia hujui kuwa biashara inaweza kutegemea kama utaifanyia kijijini au mjini?
Ni kitendo cha ajabu, mtu mzima mwny akili timamu kupata hela ukaanza kuuliza watu cha kuzifanyia, ni rahisi sana kutapeliwa.