Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Salumu mwalimu Tanzania Bara usifanye kampeni ila fanya uko kwenu zanzibari ila bara ni aibu.

Mzee rungwe alifungua au kuanzisha chauma Ili awe anashiriki uchaguzi anapata ruzuku maana mafao yoteeee aliongaaaaa

Mzee wangu Leo yaani Jina la Babangu ni Leo ndio maana Mimi naitwa sifii Leo yee alikuwa na rungwe baada ya kula mafao yakaisha wakaona njia iliyobakia no kuanzisha chama ila Mzee Leo alikataa akafungua gest house.
Chauma+ Act = wake wa ccm
 
Samia akiwa Kisesa alisema atamteua Mpina katika nafasi zake kumi za ubunge. Kumbe zile nafasi zina extend mpaka ACT Wazalendo
 
Samia akiwa Kisesa alisema atamteua Mpina katika nafasi zake kumi za ubunge. Kumbe zile nafasi zina extend mpaka ACT Wazalendo
Hivi ukaolewaha mpka Leo x wangu?
 
Mawazo mfilisi hayo chaumma kinakwenda kuwa Cha kikubwa kama kwa kulia muda ni mwalimu mzuri
 
Back
Top Bottom