Mzee wangu kibarua kwa tajiri Mo ana-organize ALBADIR ya maana

Mzee wangu kibarua kwa tajiri Mo ana-organize ALBADIR ya maana

Albadir wala si shirki wala si uzushi unaomba kwa wataka ya hao maswahaba watukufu shirki iko wapi?
Dua ya kiislamu anaombwa mungu moja kwa moja bila kupitia kwa yoyote,hata mtume hutajwa mwanzoni mwa dua na mwishoni lakini naye unapomtaja kwenye duwa unamtaja kwa kumuombea nayeye dua kwa mwenyezi.Dua huanza kwa kumtaja Mungu (bismilah rahmani rahim),kisha kumsalia(kumuombea)mtume Muhammad (SAW),(waswalatu wassalam alaa rasuli llahi swalla llahu aleyhi wa sallam) alafu unaomba shida zako kisha unamsalia tena mtume na kumaliza dua yako.
 
Hii sala haijawah zaa faida kabisa mfano kwa tundulisu
 
Kampuni ya familia ile usije kuta ndugu zake ndo wamemteka maana utajiri wote kaukumbatia yeye wenzie hawasikiki
 
Albadil ni Ibada ya majinni inakuaje inafanyika msikitini?
Huu ni ushirikina ila kuna wapuuzi wachecha wanageuza ni ibada na kuifanyia msikitini. Wakati Mwenyezi Mungu amekharamisha ushirikina.
 
Albadir wala si shirki wala si uzushi unaomba kwa wataka ya hao maswahaba watukufu shirki iko wapi?
Wakulwa wadoto na makashindye mlio tangulia mtuombee. DEAD BODY PRAY FOR YOU
 
Write your reply...Arogwe tu mamaee .. hii hali inatia kinyaa sasa .. asipo rogwa yule na kutowehuka atazidi kuwaonea watanzania .. this is too much
 
Back
Top Bottom