dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Albadir wala si shirki wala si uzushi unaomba kwa wataka ya hao maswahaba watukufu shirki iko wapi?Albadir ni bidaa/shirki/uzushi. haiko kwenye dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Albadir wala si shirki wala si uzushi unaomba kwa wataka ya hao maswahaba watukufu shirki iko wapi?Albadir ni bidaa/shirki/uzushi. haiko kwenye dini.
Dua ya kiislamu anaombwa mungu moja kwa moja bila kupitia kwa yoyote,hata mtume hutajwa mwanzoni mwa dua na mwishoni lakini naye unapomtaja kwenye duwa unamtaja kwa kumuombea nayeye dua kwa mwenyezi.Dua huanza kwa kumtaja Mungu (bismilah rahmani rahim),kisha kumsalia(kumuombea)mtume Muhammad (SAW),(waswalatu wassalam alaa rasuli llahi swalla llahu aleyhi wa sallam) alafu unaomba shida zako kisha unamsalia tena mtume na kumaliza dua yako.Albadir wala si shirki wala si uzushi unaomba kwa wataka ya hao maswahaba watukufu shirki iko wapi?
Sasa ww mbona unatangaza sasaHii kimya kimyaa ,wazee wanahasira Hadi mmoja analia
Ni dua ya kuomba mizimu au watu waliokufa wawafanyie kadiri mnavyo nuiaAlbadir siyo ibada wala haihusiani na ibada
Huu ni ushirikina ila kuna wapuuzi wachecha wanageuza ni ibada na kuifanyia msikitini. Wakati Mwenyezi Mungu amekharamisha ushirikina.Albadil ni Ibada ya majinni inakuaje inafanyika msikitini?
Wakulwa wadoto na makashindye mlio tangulia mtuombee. DEAD BODY PRAY FOR YOUAlbadir wala si shirki wala si uzushi unaomba kwa wataka ya hao maswahaba watukufu shirki iko wapi?