kwa kipimo cha kupima akili kwako kingesoma unadaiwa akili yaani huna hadi una deni la kuwa na akiliKufa angekufa tu hata kwa kuchomwa na miiba kwa hiyo kama mpango wa Mungu ni kumuua baba yako na atakufa.
Mama yako, na wote walio na ukaribu na baba yako waanze kutumia dawa hata kama hawajaanza kuumwa.Naandika huku naumia sana.
Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.
Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.
Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.
Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.
Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.
Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?
Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.
Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.
Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.
Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?
Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.
Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.
Inauma sana.
OK hapa nazungumzia part ya Familiakuna part unaweza kucheza wewe binafsi kuna part ni ya serikali, kwa mfano huna uwezo wa kufunga mashule ili watoto wasiambukizane na kuuleta home lakini serikali inaweza
Hiyo mbona watu wanaplay part yao, tatizo ni kuwa serikali inabehave as if yenyewe haina wajibu wowote katika vita hii, hata jina la ugonjwa wanaona tabu kulitamkaOK hapa nazungumzia part ya Familia
Sawa mpendwa unadhani mini kifanyikeHiyo mbona watu wanaplay part yao, tatizo ni kuwa serikali inabehave as if yenyewe haina wajibu wowote katika vita hii, hata jina la ugonjwa wanaona tabu kulitamka
Dawa gani ebu nisaidie niwaambieMama yako, na wote walio na ukaribu na baba yako waanze kutumia dawa hata kama hawajaanza kuumwa.
Sio rahisi taarifa sahihi zikamfikia kila mtanzania njia nayotumia kuiponya nafsi yangu haiwezi kutumika na kila mtanzania kwa sababu kuna watanzania hawana hata maji ya kunywa sembuse hayo ya kunawa. Think big chukua tahadhari . Ukiambiwa nawa mikono ujue hujafikiriwa utapata wapi hayo maji tiririka.Wale wasio na access na taarifa sahihi nao unasema je?
Kwa vile wewe una taarifa sahihi nini kinakufanya udhani ni hivyo kwa kila mtu?
Au watanzania wote ni wewe tu mkuu?
MK254 njoo uone Sasa madhila tuliyoletewa na Chanzo Cha Matatizo, Chama Cha MazezetaNaandika huku naumia sana.
Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.
Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.
Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.
Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.
Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.
Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?
Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.
Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.
Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.
Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?
Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.
Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.
Inauma sana.
Kwa hiyo watu sampuli hiyo Raisi akisema watasikia?Hivi wewe umeshawahi kukaa kujijini,unawajua watu wa kijijini walivyo?Kipindi kile cha mlipuko wa kipindupindu ,serikali ilitumia nguvu kubwa sana kupiga marufuku nyingi ili kipindupindu kisisambae.Sasa leo umewapa uhuru wa kufanya mambo yao kwa uhuru kwa kuwapa tahadhari ya mdomo,unategemea watafuata unachokisema?
Kila mtu awe taarifa wazee wakeMimi naww hatungoji tamko Sababu tunaelewa vipi wa huko kijjn wanaoamini Rais ndio kila kitu
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Huko kijijini taarifa wanapataje? Serikali kupitia wizara ya afya ikitoa taarifa watu watazingatiaPole ndugu.
Jambo moja ni lazima kifo kiletwe na sababu ambayo kibinadamu tunasema ingeepukika hua tunasema Kwa nini*********?.*
Embu fikiria nchi zenye lockdown bado watu wapukutika tu je hawa wailaumu serikali? Suala jema ni wenyewe kuchukua tahadhar hasa misibani kwa mtu aliyesadikika kuondoshwa na covid, vaa barakoa, sanitizer mfukoni, kuachiana nafasi na sehemu zingine vivyo hivyo.
Tukiendelea kuilaumu serikali tukiendelea kuisubiri serikali tunaoumia ni sisi wenyewe.
Tuchukue tahadhari kulaumu ni kujiumiza ikiwa mlaumiwa hana limuingialo.
MLINZI WA AFYA YAKO NI WEWE MWENYEWE.
wanataka rais atume jeshi kuvisha watu barakoa.Watu mnapenda propaganda za kijinga sana nchi hii.
Kwahiyo Rais asiposema kuna Corona nyie hamtachukua tahadhari?
Hii nchi imejaa pimbi wengi, kwahiyo unamlaumu Rais kwa uzembe wa baba yako?
Rais kashasema watu wachukue tahadhari na waendelee kumuomba Mungu, nyie mlitakaje ili mchukue tahadhari?
How can u say ths mkuu.....[emoji848]Kufa angekufa tu hata kwa kuchomwa na miiba kwa hiyo kama mpango wa Mungu ni kumuua baba yako na atakufa.
Wangetoa taarifa tu ili watu huko vijijini wasijiachie misiban,
Sio rahisi taarifa sahihi zikamfikia kila mtanzania njia nayotumia kuiponya nafsi yangu haiwezi kutumika na kila mtanzania kwa sababu kuna watanzania hawana hata maji ya kunywa sembuse hayo ya kunawa. Think big chukua tahadhari . Ukiambiwa nawa mikono ujue hujafikiriwa utapata wapi hayo maji tiririka.
Nimekujibu kidogo mengine utaelewa tu 👍🏾
Kaka kwani kutangaza TBC kuwa ugonjwa upo watu wakae mbali watapungukiwa nini
Naandika huku naumia sana.
Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.
Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.
Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.
Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.
Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.
Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?
Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.
Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.
Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.
Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?
Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.
Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.
Inauma sana.
kwa sababu hata ugonjwa hausikilizi tbc1, haina maana.Kaka kwani kutangaza TBC kuwa ugonjwa upo watu wakae mbali watapungukiwa nini
Huu ndio ujinga umewajaa.Yaani nafsi yangu naipenda sana siwezi kusubiri mtu aniambie nichukue tahadhari. Nyumbani kwangu nina sauti inayosikilizwa na watu wanatii . Tunachukua tahadhari kwa kadri ya uwezo wetu . Inabidi kila mtu ailinde nafsi yake. Usiikabidhi nafsi iendeshwe na serikali shauri lako [emoji851][emoji851][emoji851]
Mbona kina Nyerere na wengine waliofuata waliweza,huyu atashindwaje?Kwa hiyo watu sampuli hiyo Raisi akisema watasikia?