Nimeuguza hivi karibuni ..my anger and frustrations..could be felt through my presence.... let alone words or texts... Madaktari walijua... Value ya nduguzo unawapa wewe..Unahisi hii story ni chai ya tangawizi?
Nimeuguza hivi karibuni ..my anger and frustrations..could be felt through my presence.... let alone words or texts... Madaktari walijua... Value ya nduguzo unawapa wewe..
Mtu anaumwa..tena mzazi.. when do you get time to share huku mitandaoni.. maana at that specific moment everything falls into the the second and third place...
Chai nyingi SIKU hizi
Unaweza kuta anauguliwa.. ila ndio mpaka la kutia ufunguo.. bila kusukumwa na kusontewa haendi ng'o..Ila ameweza kuandika maelezo yote hayo.
Huyu anauguliwa kweli?
Endelea kuweka propaganda kwenye maisha yako kwa kisingizio cha Rais hajatangaza utadhani ukifa kuna kuna kitu utampunguzia Rais.
Rais kashasema wananchi chukueni tahadhari mko hapa mnalialia eti Rais hajasema mnataka aseme nini?
Kuna mijitu flani mijinga mijinga tu kila kitu inalaumu serikali, hovyo sana pimbi kama ninyi.
Acheni kuchukua tahadhari mfe kama kuku kwa kisingizio cha Rais hajatangaza
Sikiliza ndugu. Ni vizuri serikali kuanzia shina, mtaa, kata, wilaya, mkoa na taifa wakachukua majukumu yao ya kuonya na kusimamia taratibu za ki afya. Ili wananchi wa wachukuwe tahadhari . Hii ni kwa sababu waTz wamezoea kusimamiwa .
Kosa lilitokea baada kukrash maabara yetu na taratibu za kujikinga na Corona , ikiwemo kuvaa barakoa. InakuwaJe pale kiongozi mkuu anapowabeza viongozi wenzake wanapovaa barakoa ?!
We kenge rais katoa lini hiyo kauli kama sio jana watu wanacho laumu ni kutochukuliwa hatua toka mwanzo maana dalili zimeonekana kitambo lakini mamlaka zimekuwa zikikanusha leo hii hapa Dar daladala zinajaza watu kama kumbikumbi hivi hiyo barakoa itasaidia nn kwenye ule mbinyo lazima serikali ichukue hatua acha kujimwambafai kishamba hapa.
Naandika huku naumia sana.
Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.
Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.
Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.
Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.
Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.
Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?
Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.
Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.
Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.
Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?
Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.
Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.
Inauma sana.
Hao watu kijijini sana TV?Kaka kwani kutangaza TBC kuwa ugonjwa upo watu wakae mbali watapungukiwa nini
Mpaka nione pichaUnaweza kuta anauguliwa.. ila ndio mpaka la kutia ufunguo.. bila kusukumwa na kusontewa haendi ng'o..
Yaani kwa mgonjwa every minute counts, every text, talk inakuwa nikutafuta njia ya kuupata uzima..
Badala kuja uulize how can you get help especially hapo kwenye taasisi inayomuhudumia mzee.. we unakuja kwenye siasa as if ndio utaponesha mzazi!?
Tunashida sana kwenye priority zetu.
Pole sana mkuu, inauma kwakweli. Kuna watu wanasema mnasubiri serikali itoe tamko huku wakijisahaulisha kuwa wazee wengi vijijini hawana vyanzo maalumu vya taarifa kama wengine tunavyofukunyua kupitia social media mbalimbali. Tamko la serikali ni tosha kwa vyombo vinavyosikika huko vijijini kama vituo vya televisions.Naandika huku naumia sana.
Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.
Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.
Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.
Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.
Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.
Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?
Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.
Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.
Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.
Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?
Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.
Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.
Inauma sana.
Well said brother. Umemaliza yote. Magufuli ni mfadhihina, Hana kurudi nyuma, wala kukiri makosa yake. Yeye yuko sahihi muda wote, ni Mfalme wa malaika woteJameni poleni sana ila Watanzania nawaona kama mna ujuha wa kiaina (samahani ila itabidi tu), yaani mumekalia kusubiri rais aseme ndio mjue kweli corona iko kwenu huko, inapaswa mfahamu rais wenu mnaye ni wale akina baba zetu wa kitambo, namkumbuka sana marehemu baba yangu alikua wa sampuli ya rais wenu, ilikua akifanya maamuzi yaani hata mfe wa mwisho asingebadilisha, hakuwa tayari kutumia neno "sorry".
Sitegemei na sioni rasi wenu akibadilisha kauli zake hizo, hivyo mwenye akili ajijazie na kuchukua tahadhari, epuka kusongamaana kwenye midaladala, epuka misongamano ya aina yoyote, nawa mikono, vaa barakoa na mengine yaachie Mola wako, lakini leo usiniambie unakwenda kilabu kunywa pombe kisha unamgegeda changudoa halafu unasema corona umeishinda kwa maombi ilhali unatenda dhambi.
Kaka mkubwa, Pole sana.Alianza na dalili kama za U.T.I na maralia!
Lakini ghafla ndo mambo ya kubanwa mbavu yameanza usiku
Ascoril Cough syrup au Goodmorning cough syrup ukihisi koo linawasha.Dawa gani ebu nisaidie niwaambie
Asante sana mkuu asante sanaAscoril Cough syrup au Goodmorning cough syrup ukihisi koo linawasha.
Mengine tutazidi kujuzana
Azithromycin 500mg od for 7/7
Amoxyclav 625mg bd for 7/7
pedzinc 20mg od, Vit C 1gm od, Vit D 1tb od, Junior Asprin 75mg od for 1month.
Dawa muhimu za kukaa nazo nyumbani za akiba[emoji115] hizo hapo juu
Ila tunashsuriwa kule matunda na mboga za majani kwa wingi kila siku kwa sasbabu inalinda na kujenga mwili,unapata vitamini C na kuongeza Kiwango cha damu (Hb) inaimarisha kinga na kukukinga na magonjwa.
Tuwe na hiyo NIMRCAF
Kwa mwenye vidonda vya tumbo atumie COVIDOL
Angalizo.
Nimenakili na kuleta hapa, hivyo sijui kwa undani matumizi ya hizo dawa. Ninachoshauri ni kuwa, waende hospitali, hata kama hawajaanza kuumwa ili wapewe maelezo sahihi ya nini cha kufanya, au kama watapeleka hiyo orodha hapo juu ili wataalamu wawashauri zaidi.
AminaPole sana mzee atapona kua na imani
Kufa angekufa tu hata kwa kuchomwa na miiba kwa hiyo kama mpango wa Mungu ni kumuua baba yako na atakufa.