Mzee wangu yupo hoi, huenda Serikali ingeweka wazi, Mzee wangu asingeshiriki kuzika rafiki yao aliyefariki kwa changamoto

Unahisi hii story ni chai ya tangawizi?
Nimeuguza hivi karibuni ..my anger and frustrations..could be felt through my presence.... let alone words or texts... Madaktari walijua... Value ya nduguzo unawapa wewe..

Mtu anaumwa..tena mzazi.. when do you get time to share huku mitandaoni.. maana at that specific moment everything falls into the the second and third place...
 
POLE SAANA KWA KUFIWA

lakini ni mpumbavu tu ndio anaweza kumuamini mwanasiasa

hivyo basi nikushauri PINGANA KWANZA NA UPUMBAVU ULIONAO ASHA KUM SI MATUSI
 
Ila ameweza kuandika maelezo yote hayo.
Huyu anauguliwa kweli?
Nimeuguza hivi karibuni ..my anger and frustrations..could be felt through my presence.... let alone words or texts... Madaktari walijua... Value ya nduguzo unawapa wewe..

Mtu anaumwa..tena mzazi.. when do you get time to share huku mitandaoni.. maana at that specific moment everything falls into the the second and third place...
 
Ila ameweza kuandika maelezo yote hayo.
Huyu anauguliwa kweli?
Unaweza kuta anauguliwa.. ila ndio mpaka la kutia ufunguo.. bila kusukumwa na kusontewa haendi ng'o..

Yaani kwa mgonjwa every minute counts, every text, talk inakuwa nikutafuta njia ya kuupata uzima..

Badala kuja uulize how can you get help especially hapo kwenye taasisi inayomuhudumia mzee.. we unakuja kwenye siasa as if ndio utaponesha mzazi!?

Tunashida sana kwenye priority zetu.
 
Endelea kuweka propaganda kwenye maisha yako kwa kisingizio cha Rais hajatangaza utadhani ukifa kuna kuna kitu utampunguzia Rais.
Rais kashasema wananchi chukueni tahadhari mko hapa mnalialia eti Rais hajasema mnataka aseme nini?

Kuna mijitu flani mijinga mijinga tu kila kitu inalaumu serikali, hovyo sana pimbi kama ninyi.
Acheni kuchukua tahadhari mfe kama kuku kwa kisingizio cha Rais hajatangaza
 
Mijinga kuliko hii:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Sikiliza ndugu. Ni vizuri serikali kuanzia shina, mtaa, kata, wilaya, mkoa na taifa wakachukua majukumu yao ya kuonya na kusimamia taratibu za ki afya. Ili wananchi wa wachukuwe tahadhari . Hii ni kwa sababu waTz wamezoea kusimamiwa .

Kosa lilitokea baada kukrash maabara yetu na taratibu za kujikinga na Corona , ikiwemo kuvaa barakoa. InakuwaJe pale kiongozi mkuu anapowabeza viongozi wenzake wanapovaa barakoa ?!

Ujinga ni kipaji kama ilivyo kipaji cha kucheza mpira.
Rais kasema tuchukue tahadhari we kama kusikia kwako ni mpaka damu itoke masikioni kama kenge basi endelea kulaumu serikali, hao wadaktari wanaokwambia namna ya kuvaa barakoa ni sehemu ya serikali we kaa kizembe uendelee kumlaumu Rais ukidhani ukifa utaipunguzia hii nchi kitu chochote zaidi ya kuacha upweke kwenye familia yako
 
We kenge rais katoa lini hiyo kauli kama sio jana watu wanacho laumu ni kutochukuliwa hatua toka mwanzo maana dalili zimeonekana kitambo lakini mamlaka zimekuwa zikikanusha leo hii hapa Dar daladala zinajaza watu kama kumbikumbi hivi hiyo barakoa itasaidia nn kwenye ule mbinyo lazima serikali ichukue hatua acha kujimwambafai kishamba hapa.

Kilaza sana wewe, kama unasubiri Rais aseme nakuhakikishia muda wowote ID yako itabaki bila user kwakuwa watu wajinga wajinga kama wewe hata mkifa hakuna hasara.
Mkeo asipooga pia utamlaumu Rais, chenga sana wewe
 
Naandika huku naumia sana.

Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.

Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.

Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.

Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.

Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.

Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?

Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.

Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.

Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.

Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?

Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.

Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.

Inauma sana.

Pole sana sana
 
Unaweza kuta anauguliwa.. ila ndio mpaka la kutia ufunguo.. bila kusukumwa na kusontewa haendi ng'o..

Yaani kwa mgonjwa every minute counts, every text, talk inakuwa nikutafuta njia ya kuupata uzima..

Badala kuja uulize how can you get help especially hapo kwenye taasisi inayomuhudumia mzee.. we unakuja kwenye siasa as if ndio utaponesha mzazi!?

Tunashida sana kwenye priority zetu.
Mpaka nione picha
 
Naandika huku naumia sana.

Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.

Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.

Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.

Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.

Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.

Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?

Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.

Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.

Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.

Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?

Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.

Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.

Inauma sana.
Pole sana mkuu, inauma kwakweli. Kuna watu wanasema mnasubiri serikali itoe tamko huku wakijisahaulisha kuwa wazee wengi vijijini hawana vyanzo maalumu vya taarifa kama wengine tunavyofukunyua kupitia social media mbalimbali. Tamko la serikali ni tosha kwa vyombo vinavyosikika huko vijijini kama vituo vya televisions.
Once a killer is a killer, he continues to sacrify his people's life by his ignorance and pride.
 
Jameni poleni sana ila Watanzania nawaona kama mna ujuha wa kiaina (samahani ila itabidi tu), yaani mumekalia kusubiri rais aseme ndio mjue kweli corona iko kwenu huko, inapaswa mfahamu rais wenu mnaye ni wale akina baba zetu wa kitambo, namkumbuka sana marehemu baba yangu alikua wa sampuli ya rais wenu, ilikua akifanya maamuzi yaani hata mfe wa mwisho asingebadilisha, hakuwa tayari kutumia neno "sorry".

Sitegemei na sioni rasi wenu akibadilisha kauli zake hizo, hivyo mwenye akili ajijazie na kuchukua tahadhari, epuka kusongamaana kwenye midaladala, epuka misongamano ya aina yoyote, nawa mikono, vaa barakoa na mengine yaachie Mola wako, lakini leo usiniambie unakwenda kilabu kunywa pombe kisha unamgegeda changudoa halafu unasema corona umeishinda kwa maombi ilhali unatenda dhambi.
Well said brother. Umemaliza yote. Magufuli ni mfadhihina, Hana kurudi nyuma, wala kukiri makosa yake. Yeye yuko sahihi muda wote, ni Mfalme wa malaika wote
 
Dawa gani ebu nisaidie niwaambie
Ascoril Cough syrup au Goodmorning cough syrup ukihisi koo linawasha.
Mengine tutazidi kujuzana

Azithromycin 500mg od for 7/7
Amoxyclav 625mg bd for 7/7
pedzinc 20mg od, Vit C 1gm od, Vit D 1tb od, Junior Asprin 75mg od for 1month.

Dawa muhimu za kukaa nazo nyumbani za akiba[emoji115] hizo hapo juu
Ila tunashsuriwa kule matunda na mboga za majani kwa wingi kila siku kwa sasbabu inalinda na kujenga mwili,unapata vitamini C na kuongeza Kiwango cha damu (Hb) inaimarisha kinga na kukukinga na magonjwa.

Tuwe na hiyo NIMRCAF
Kwa mwenye vidonda vya tumbo atumie COVIDOL

Angalizo.
Nimenakili na kuleta hapa, hivyo sijui kwa undani matumizi ya hizo dawa. Ninachoshauri ni kuwa, waende hospitali, hata kama hawajaanza kuumwa ili wapewe maelezo sahihi ya nini cha kufanya, au kama watapeleka hiyo orodha hapo juu ili wataalamu wawashauri zaidi.
 
Asante sana mkuu asante sana
 
Back
Top Bottom