hii corona imepigwa combined na ebola au vipi maana kubeba tu jeneza unaugua duu
Hivi mtu akishakufa kwa korona virusi vinatokaje kwenye mwili na kuambukiza wengine?
Ni kujiongeza tu rafiki, mtu akifa kwa tatizo la upumuaji basi nyie ndugu chukueni tahadhari. Pole sana mtoa mada
Ushauri mzuriWHO walishauri kwamba maiti za Corona zizikwe na watu wa afya na msiba usizidi watu 10.
WHO waliona mbali Sana.
Tatizo Corona imetekwa na siasa uchwara, ujuaji na upotoshaji wa makusudi.
Devils at work. Kilangila.Kufa angekufa tu hata kwa kuchomwa na miiba kwa hiyo kama mpango wa Mungu ni kumuua baba yako na atakufa.
Pole sana.Mungu atamponya.Naandika huku naumia sana.
Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana.
Chanzo cha kuumwa.
Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu.
Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika kijijini geita bila tahadhari wakiamini kafa kwa ugonjwa wa kawaida.
Alipofikishwa huko kijijini, ndipo wazee wenzake wakawa wamejiandaa kumzika mwenzao kama ilivyo ada yao.
Jukumu la kubeba mwili kuzika, lilifanywa na wazee kama ishara ya heshima kwa mwenzao.
Miongoni mwa wazee hao! Na mzee wangu alishiriki.
Msiba ulikuwa na msongamano mkubwa kama ada na mila za vijijini.
Wazee hawa maskini ya Mungu pasipo kujua walibeba mwili bila tahadhari! Hadi atua ya mwisho ya kumzika mwenzao.
Baada ya hapo jioni mzee akanisimulia ilivyokuwa, akadai pia walibeba na jeneza liliwavujia majimaji.
Baada ya siku kadhaa wazee hawa wameanza kuumwa.
Watatu wana hali mbaya sana, na mzee wangu usiku wa kuamkia Leo kabanwa mbavu haswa! Ametumia dawa ya malimao, vitunguu, pilipili na tangawizi lakini hali si hali, kwanza kaanza kuchanganyiwa na haongei tena.
Yuko hospital kalazwa lakini hali ni mbaya sana.
Huenda serikali wangetangaza tahadhari hasa misibani haya yasingetokea.
Huenda serikali ingetangaza wazi misiba ya korona ingezikwa na vijana walivalia kinga.
Hapa najaribu kuwaza kama hali iko hivi, maambukizi yameathiri wangapi kwa uzembe wa serikali?
Hatuhitaji lockdown, lakini chamhimu tamko litoke lifike hata kijijini watu wapewe mbinu.
Imeniuma sana kwa uzembe huu mkubwa! Kama nitapoteza busara za mzee wangu, yamkini na mama yangu atakuwa kaambukizwa maana wanalala pamoja mda wote wa kuuguza.
Yamkini tungeweza kuwalinda wazee lakini watoto wa shule hawa wadogo bado ni Carrier wa kuleta homa hiyo nyumbani.
Serikali ingefunga shule hata kwa miezi miwili ingesaidia kupunguza kasi kama mwaka 2020 sambamba na kuchukua tahadhari.
Utafaa nini utajiri katikati ya misiba?
Serikali ingeweza hata kuja na mikakati, kama hawana pesa za chanjo, wangeipokea hata watu wakachomwa kwa hiari hata kwa malipo tungelipa.
Katiba imuondolee mamlaka mtu mmoja kutegemewa kutoa tamko ili kuliokoa taifa.
Inauma sana.

Inauma sana
Soma mada! Ikumbukwe wazee ndiyo hupanga, waliona fahari kumzika mwenzao kama sehem ya heshimaHuko kwenu wazee ndio wanabeba jeneza kupeleka mazikoni, sio vijana! Hao wazee walikuwa wanapokezana jeneza linalowavujia maji vijana wa huko huwa wapi?
Una umri gani ndugu yangu,naona huna huruma na ndugu zako Watanzania,lakini kumbuka ni zamzam haina chadema wala ccm
Kufa angekufa tu hata kwa kuchomwa na miiba kwa hiyo kama mpango wa Mungu ni kumuua baba yako na atakufa.
Naona umeamua kujifunza kutengeneza hadithi za kufikirika.Naandika huku naumia sana.