chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni