Hata Ndugai sahivi anataka katiba mpyaBaadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Hakushauri walioba bali watanzania ndio wamesema hivyoBaadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Wakati ndio sasaLila jambo na wakati wake!
Jibu rahisi sana,mfumo ulikuwa mtamu kwao,na unawanufahisha,ila wakati ilikuwa Bado,Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Acha uzuzu katiba yenyewe hii ni ya 77 unafkiri katiba ya nchi inaletwa kila baada ya miaka 3? sasa miaka imeenda mahitaji yameongezeka katiba iliyopo haiakisi mahitaji ya watanzania sasa ndio maanza mzee warioba ameliona hilo sasa.Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Nenda kampige mitama kama mwenzako Bashite na wewe uzawadiwe u-DC.Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Ni kuendana na muda na wakati kwani unaweza kujua kipindi cha Mwalimu ulikuwa kwa kiasi gani.Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.
Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Ndizo tunu za uzee.Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.