Umewahi kuona mwenyekiti wako wa Taifa akikemea maovu kama utekaji na mauaji ya wananchi yanayofanywa na polisi?Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana .kwa hiyo nani ambaye hakemei Maovu? Nani ambaye ni Chawa? Anajifanya mzalendo wakati hamna kitu zaidi ya chuki zake tu Binafsi na ubaguzi tu
NdioUmewahi kuona mwenyekiti wako wa Taifa akikemea maovu kama utekaji na mauaji ya wananchi yanayofanywa na polisi?
Sasa wewe chawa lazima ikuguseNdio
Mbona una hasira au na wewe ni chawa?Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana .kwa hiyo nani ambaye hakemei Maovu? Nani ambaye ni Chawa? Anajifanya mzalendo wakati hamna kitu zaidi ya chuki zake tu Binafsi na ubaguzi tu
Mzee Warioba ameweka wazi👇
Lini? Embu weka referenceNdio
Mbona umepandisha sukari mkuu.Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana .kwa hiyo nani ambaye hakemei Maovu? Nani ambaye ni Chawa? Anajifanya mzalendo wakati hamna kitu zaidi ya chuki zake tu Binafsi na ubaguzi tu.
Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana .kwa hiyo nani ambaye hakemei Maovu? Nani ambaye ni Chawa? Anajifanya mzalendo wakati hamna kitu zaidi ya chuki zake tu Binafsi na ubaguzi tu
Umesamehewa Dhambi zakoWe ni lipumbavu sana,,,Kama Mungu yupo kweli akupitishe kwenye majuto ya mapema.