Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tatzo anataka kula huku na huku Sasa anaona noma kuchukua upandeUhuru ni mzuri sana. Miaka mitatu nyuma angepewa mwaliko kama huo angewahi ukumbini siku mbili kabla.
🤔....MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"
Jaji.
.suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"
Halafu mumpe changamoto ya kupumuaNdio angeenda kututoa hayo Mashaka!
Lakini tunaishi kwenye jamii mfu ambayo imekuwa haihoji kwa sauti ya kusikika angalau kwenye hili sauti imekuwa kubwa tena sanaHawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
[emoji2960][emoji23]Halafu mumpe changamoto ya kupumua
Acha fikra za kimasikini bro, ujamaa umeisha lini mpka leo kuna progress gani mmeipiga??Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Inasikitisha kuona a few that are not sure pia wanaonekana wanapinga hoja ya uwekezajiHawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!