Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mimi pia nalitazama hili swala lakini sina maoni. Mawazo yangu yanabakia ni mawazo tu; hayaja - crystalize kuwa maoni.

Ila ningependa kuandika maoni ya wale jamaa niliwaona kijiweni leo. Mmoja wao kasema,"Rais Samia anapaswa kuwekwa jela" . Maneno yake yakazua mjadala mkali sana.
 
Hii ngoma ishaanza kuwa nzito mama yuko tested
Hao ndivyo walivyo,huwa wanaambiana kupiga presha wakiona Jambo linatishia maslahi ya vigango,walifanya hivyo kwa mwinyi, walimsumbua kweli kwa jakaya walikwama,na hapa watakwama,warioba na kizazi chake ni kizazi kilichopandikiza na kuitenda chuki dhidi ya waislam,hawezi mpenda mwarabu...ukichukia boga chukia na ua
 
H
.....mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."

....ki ukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"

....suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"

....MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"

Jaji.
Huyu mzee kishachoka sana. Mwacheni apumzike asijekufanyiwa kama kale kajambo alikofanyiwa na Bashite pale Ubungo pkaza.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Jilaumu mwenyewe, kwani Roast hakuwepo hapa?
Hujitambui ndiyo maana hujui nani wa kumlaumu kwa ujinga wako.
 
Back
Top Bottom