Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono mkataba wa kubinafisisha Bandari zetu zote Tanganyika halafu za Zanzibar zikiachwa
Mbona wabunge wetu wamekubali..Mama kawekwa Mnarani kakenua meno sasa mnajua why aliwekwa pale. Samia tuachie Tanganyika Yetu.
 
Mimi pia nalitazama hili swala lakini sina maoni. Mawazo yangu yanabakia ni mawazo tu; hayaja - crystalize kuwa maoni.

Ila ningependa kuandika maoni ya wale jamaa niliwaona kijiweni leo. Mmoja wao kasema,"Rais Samia anapaswa kuwekwa jela" . Maneno yake yakazua mjadala mkali sana.
TISS inatakiwa kulaumiwa kwa hili.
 
Mbona hujaenda kukojoa?
let this end in peace, tumepata wasaa wa kubishana na tumebishana haswa. Yote sijayachukulia serious(napenda utani), hatujuani but jf imetuunganisha, nilipokosa nisamehe.
 
let this end in peace, tumepata wasaa wa kubishana na tumebishana haswa. Yote sijayachukulia serious(napenda utani), hatujuani but jf imetuunganisha, nilipokosa nisamehe.
Tuyaachie hapa hapa, lakini si busara kudharau yalipoanzia yote haya.

Ninakusihi ukasome huo mstari ulioyaanzisha yote haya.
Tafakari juu yake, na jiridhishe mwenyewe juu ya uhakika wa maneno hayo.

Sina kinyongo.
 
Back
Top Bottom