Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Rudi shule ukajifunze matumizi sahihi ya question tag.
Shule uliyo nayo wewe, kama kweli ulienda shule, unganisha na za wazazi wako wote na kaka zako na dada zako; weka na wajomba, hizo shule zenu hazifikii niliyofika mimi.
Kwa hiyo usijihangaishe na lolote kwa upande huo.
 
Shule uliyo nayo wewe, kama kweli ulienda shule, ako wote na kaka zako nada zako;
Sasa mbona huna akili. Hata dogo wa kindergaten hafanyi uhayawani unaoufanya wewe. You're a true definition of JUHA!
 
Sasa mbona huna akili. Hata dogo wa kindergaten hafanyi uhayawani unaoufanya wewe. You're a true definition of JUHA!
Utajuaje kuwa mtu anayo akili wakati wewe huna hiyo akili?
 
"Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."

Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"

Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"

MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"

Jaji.
Nyeti za mtetea zi hadharani. Nini ambacho kinahitajika tena!? Serikali isijifiche bali itoe neno kuhusu yale maeneo katika vifungu vya mkataba ambavyo wadau wengi hawaridhiki navyo.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Ila mali bado zipo and hawa wa sasa majizi ndio yanafuja kilichoachwa na hao... Tuliomba uhuru ili tujitawale na sio kutawaliwa au kuongozwa Dalali wewe na hili mtatema mlicholishwa na waarabu.. na pia nawahakikishia waarabu mtakuja kuwalipa nnya zenu hawawezi waacheni hivi hivi tushakataa majizi nyinyi wajalaana
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Ndo waliouza bandari, mbona unajitia uchizi kiaso hicho!!?? Wazee wetu walikuwa na uwezo wa kutapanya rasilimali zote za nchi lakini walijitahidi kuzitunza kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Leo hii anatokea mtu mmoja anataifisha mali za nchi na mnataka kutuziba midomo!
 
Hao ndivyo walivyo,huwa wanaambiana kupiga presha wakiona Jambo linatishia maslahi ya vigango,walifanya hivyo kwa mwinyi, walimsumbua kweli kwa jakaya walikwama,na hapa watakwama,warioba na kizazi chake ni kizazi kilichopandikiza na kuitenda chuki dhidi ya waislam,hawezi mpenda mwarabu...ukichukia boga chukia na ua
We ni mpuuzi wa kupuuzwa.
 
Ndo waliouza bandari, mbona unajitia uchizi kiaso hicho!!??
Ni ajabu kushuhudia jitu kubwa kama ww unapayuka hadharani eti bandari imeuzwa...hv akili zenu mmeziacha wapi shenztyp nyie?
 
kakojoe ulale zamwamwa ww. DPW ikianza operations uhamie Burundi.
Tutabanana sana hapa hapa, hilo usiwe na mashaka nalo. Mmelikoroga, mtalinywa.
Inaonekana bado unaishi zama za gizani.
 
Back
Top Bottom