Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
tatizo lenu huyo Nyerere mmemfanya mungu mtu.Unajiona wa maana sana kuwatukana akiwemo Nyerere eti huna adabu na usiye na shukrani wewe .hujitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo lenu huyo Nyerere mmemfanya mungu mtu.Unajiona wa maana sana kuwatukana akiwemo Nyerere eti huna adabu na usiye na shukrani wewe .hujitambui
Mna mawazo ya kichawi sana. Walozi nyieKama ulikuwemo kwenye ile timu ya mchongo wa kuuza Bandari,aga familia yako mapema,kazi mnayo.
Sawa hayawani pro maxKiufupi, wanapinga uhayawani wa waliosaini mkataba ule wa kishenzi.
Hana legacyHuelewi maana ya legacy. Legacy ni fikra, siyo kitabu. Fikra sahihi au njema zinaweza kufanyiwa kazi au kutofanyiwa kazi lakini haibadilishi usahihi wake.
Tell from this profile umeona legacy gani?Jifunze kuheshimu wakubwa wako ata kama umepewa asali ulambe.View attachment 2664187
Kama ni majina tu, Wapo wengiNenda UN kwenye Mahakama ya mipaka ya Bahari kimataifa,katika waasisi,utaliona jina la uyo Mzee wa Nyagi.
Huna cha kujilinganisha na Jaji Warioba,wewe ni fala tu!
Kuwa mjumbe tu? We need his outstanding accoladesJaji Warioba alikuwa mjumbe wa timu iliyoandaa sheria za kimataifa za mipaka ya Bahari na baadaye akawa Jaji wa Mahakama ya mipaka ya Bahari kimataifa.Anajua vizuri Samia kaingiza nchi mkenge ndiyo maana kakataa kushiriki upuuzi.
Inayobinafsisha ni Tanganyika sio Zanzibar, kumbuka hizi ni nchi mbili tofauti, na Zanzibar wanalijua zaidi. Moja ni Koloni la Mwenzake.Kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono mkataba wa kubinafisisha Bandari zetu zote Tanganyika halafu za Zanzibar zikiachwa
Kesharambishwa asali mbona enzi za Jiwe alikuwa hakauki kwenye warsha na makongamano pamoja na vitisho alivyokuwa anapokea? Hawa ndio viongozi wetu wakiwa na njaa ndio akili zinawakaa sawa ila wakishiba wanatusaliti na kutuona kuku.Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"
MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"
Jaji.
What if anaunga mkono Lakini hataki mitusi na ngwara?Kesharambishwa asali mbona enzi za Jiwe alikuwa hakauki kwenye warsha na makongamano pamoja na vitisho alivyokuwa anapokea? Hawa ndio viongozi wetu wakiwa na njaa ndio akili zinawakaa sawa ila wakishiba wanatusaliti na kutuona kuku.
Aliulizwa kipindi cha mwendazake kuhusu katiba mpya tafuta majibu yake Kisha uje hapa useme tena ndimi mbiliHujui unayemuongelea au wewe ni wa juzi.
Mzee Warioba hajawahi kuongea na ndimi mbili.
Uhuru ni mzuri sana.
Miaka mitatu nyuma angepewa mwaliko kama huo angewahi ukumbini siku mbili kabla.
Nadhani alipokuwa anatoa uashauri bado alikuwa kijana kama wewe. Sasa vijana wa sasa wamefanya nini cha kukumbukwa? Tunambiwa bandari inauzwa, vijana mko wapi zaidi ya hao 6 waliojitikeza juzi?Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Unazungumzia Ukraine au!?..halafu inahusika vp na mada?Kwani Waislamu wenyewe mnapendana,mbona nchi za Waislamu zimejaa vita na vurugu.