Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Kama ungesikiliza jana ile timu inayohusika na huo mkataba, ungepata majibu yote. Walieleza vzr tu.
Kwanini timu haiku muhusisha Kabudi au mtu mwingine huru maana wanasheria wanasema kitu kinajisimamia chenyewe yaani akina Abdallah ni Sawa atakavyo kiona James
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Kwani ni nchi gani Afrika ambayo haikufuata Ujamaa,na imekuwa tajiri kwa serikali yenyewe na raia wake kwa kufuata ubepari?
 
Kama hadi hawa Makada Waandamizi wa Chama wanakataa hiyo DP World, sasa huyo Mama Samia anaungwa Mkono na akina nani?

Kuna haja Mhe. Rais akashtuka Mapema, huenda kuna watu wamemtegea Kitanzi kuelekea 2025.

I don't see her as a right candidate towards 2025, maana kwenye hili la Bandari tayari limeshamtia Doa
 
Inasikitisha kuona a few that are not sure pia wanaonekana wanapinga hoja ya uwekezaji

Kwanza Hakuna uhakika if warioba said that and pili hata Kama amesema, he has the rights to do so

Lakini hana any additional merits kwani his time ilipita bila yeye kuacha alama
Jaji Warioba alikuwa mjumbe wa timu iliyoandaa sheria za kimataifa za mipaka ya Bahari na baadaye akawa Jaji wa Mahakama ya mipaka ya Bahari kimataifa.Anajua vizuri Samia kaingiza nchi mkenge ndiyo maana kakataa kushiriki upuuzi.
 
Kama hadi hawa Makada Waandamizi wa Chama wanakataa hiyo DP World, sasa huyo Mama Samia anaungwa Mkono na akina nani?

Kuna haja Mhe. Rais akashtuka Mapema, huenda kuna watu wamemtegea Kitanzi kuelekea 2025.

I don't see her as a right candidate towards 2025, maana kwenye hili la Bandari tayari limeshamtia Doa
Mtego huo mkuu, ukiona kichaka kwenye ndoto usijisaidie
 
Hao ndivyo walivyo,huwa wanaambiana kupiga presha wakiona Jambo linatishia maslahi ya vigango,walifanya hivyo kwa mwinyi, walimsumbua kweli kwa jakaya walikwama,na hapa watakwama,warioba na kizazi chake ni kizazi kilichopandikiza na kuitenda chuki dhidi ya waislam,hawezi mpenda mwarabu...ukichukia boga chukia na ua
Kwani Waislamu wenyewe mnapendana,mbona nchi za Waislamu zimejaa vita na vurugu.
 
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."

Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"

Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"

MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"

Jaji.
Itoshe kusema,kaamua kusimama upande wa wananchi.
 
Nimekataa kuhudhuria majadiliano ya uwekezaji wa bandari?

Kwani wewe una nini hata cha kunijoji?

Hapa focus hi mzee wa fegi na nyagi
Nenda UN kwenye Mahakama ya mipaka ya Bahari kimataifa,katika waasisi,utaliona jina la uyo Mzee wa Nyagi.
Huna cha kujilinganisha na Jaji Warioba,wewe ni fala tu!
 
If your reference ni Huyu, then sina cha kusema… Uko biased

Je katika eta ya Nyerere and when expansion ya port inafanyika warioba alikua nani
Jifunze kuheshimu wakubwa wako ata kama umepewa asali ulambe.
Screenshot_20230621_120610.jpg
 
Kudharauliana korona Tanzania kuliua watu wengi sana kwa ujinga na ubishi wetu korona ilitusaidia kitu kimoja tu kumuondoa yule fedhuli firauni Asante korona
Kwani ni wapi ambapo CORONA haikuua Duniani?.Magufuli hakufa kwa Corona,muulizeni vizuri Mfalme wenu wa Msoga anajua alichofanya!
 
Nitajie bandari moja tu Zanzibar ambayo hakuna mwekezaji kutoka nje.

Zanzibar bandari ni tatu, Malindi, Mangapwani, an Mpigaduru. Ipi ambayo hayupo muwekezaji kutoka nje?
Mbona hawajampa DP World,kwani hawapendi ufanisi tunaoambiwa unataka kufanyika uku Bara.
 
Katiba ya warioba Iko wapi? Watu wanataka katiba mpya….

Hakuna alama, we are still using the same katiba ya 1977, unless hujui Maana ya alama

Alama ni kitu kilichopo na kinachoishi

Yake ilitupwa kaapun
Huelewi maana ya legacy. Legacy ni fikra, siyo kitabu. Fikra sahihi au njema zinaweza kufanyiwa kazi au kutofanyiwa kazi lakini haibadilishi usahihi wake.
 
Back
Top Bottom