Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mkuu,

Ukishaweka "ange..' "ange..." nyingi, unafanya speculation, kitu ambacho hakimtendei haki Mzee Warioba.

Sema alialikwa wapi, alikwenda wapi.

Sema vitu vilivyotokea, vyenye ushahidi.

Hizo habari za "ange..." unaweza kutunga story yoyote ukaipachika hapo.
Ofcourse haina ukweli mkuu, nime speculate tu.
 
Kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono mkataba wa kubinafisisha Bandari zetu zote Tanganyika halafu za Zanzibar zikiachwa
wameuza Bandari za TANGANYIKA sbb haziwaumi na sio damu yao! Tulikosea sana kuwachukulia poa Wapemba wkt waliweka wazi tng zmn kuwa hawatutaki
 
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."

Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"

Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"

MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"

Jaji.
Mzee mbona unatisha
 
Kudharauliana korona Tanzania kuliua watu wengi sana kwa ujinga na ubishi wetu korona ilitusaidia kitu kimoja tu kumuondoa yule fedhuli firauni Asante korona
Ukiumwa huku umelala njaa husaidia kuharakisha kifo! Hivyo tulivyokuwa tunapasha misuli moto huku tukila organic foods kulituokoa wengi! Wenzetu pamoja na chanjo walikufa kwa mamilioni, hatuwezi kulinganishwa nao zaidi dunia ikaamua kuishi kama sisi🤣!
Kufa kulikuwa hakuepukiki ila kwa uchache!
 
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."

Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"

Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"

MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"

Jaji.
Huyu Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba ndiye nguzo pekee ya nchi hii aliyebaki mkweli wa kweli
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Ndo walioleta Richmond na Dowans na Kagoda na kuuza madini kwa sent. Wakauza Loliondo, na sasa wanagawa bandari zetu zote, za bahari mpaka mitoni
 
Kwahyo mnadhan hzo kelele zenu zitaizuia DPW kuja kuoperate pale bandarini? BOGUS!

Kuna mengi yanaweza zuia, hata Membe siajabu alijiamini hivyo lkn hakujua kuwa yeye hapangi chochote isipokuwa Mungu, hivyo ushauri tu lower your expections siku zote kwani kuna mengi Binadamu hana control nayo hata kama kiburi kimetujaa, kama watu wengi wanalalamika na wanaona siyo sawa na siyo haki ni busara kuwasilikiliza kwani kuna leo na kesho mambo yanaweza pinduka na hawa hawa mnaowadharau mnaweza kuja kuwahitaji kuwatetea pia, usiuze nchi yetu, …
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Kabla ya kuwatukana hao wazee., mzee wako katufikisha wapi kama Taifa.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Unajiona wa maana sana kuwatukana akiwemo Nyerere eti huna adabu na usiye na shukrani wewe .hujitambui
 
Mnazungumzia mkataba wa bandari tu kuna mingine ya TANESCO, TPDC, Kampuni ya Mafuta ; mashirika yote haya Samia ameidhinisha yaingie mikataba na UAE!
Huyu mama anauza nchi yetu kwa waarabu!
Ni kweli ulivyo eleza na zaidi ya hapo Kuna hii epc + f ambapo 1 km itakuwa 2.5. Sasa sijui interest rate yake ni ngapi hapo
 
Back
Top Bottom