Chozizwa 2020
Senior Member
- May 19, 2023
- 122
- 77
Mkuu wewe mwenye mawazo yaliyo bora kwa kujibu hoja za msingi kama hizi mbona huchangii chochote zaidi brabra tu.Crap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe mwenye mawazo yaliyo bora kwa kujibu hoja za msingi kama hizi mbona huchangii chochote zaidi brabra tu.Crap
Hakuna test yoyote,ukifanya jambo la hovyo watu wengi watalipinga iwe sirini au hadharaniHii ngoma ishaanza kuwa nzito mama yuko tested
Wewe umeacha alama gani?Inasikitisha kuona a few that are not sure pia wanaonekana wanapinga hoja ya uwekezaji
Kwanza Hakuna uhakika if warioba said that and pili hata Kama amesema, he has the rights to do so
Lakini hana any additional merits kwani his time ilipita bila yeye kuacha alama
Nimekataa kuhudhuria majadiliano ya uwekezaji wa bandari?Wewe umeacha alama gani?
Siwezi kushangaa kwa mtu wa aina yako kutoelewa kilichoandikwa.wewe ulichokiandika umekielewa?
Hakuacha alama kivipi wakati wao ndio walijenga hiyo bandari ?Lakini hana any additional merits kwani his time ilipita bila yeye kuacha alama
Hao ndivyo walivyo,huwa wanaambiana kupiga presha wakiona Jambo linatishia maslahi ya vigango,walifanya hivyo kwa mwinyi, walimsumbua kweli kwa jakaya walikwama,na hapa watakwama,warioba na kizazi chake ni kizazi kilichopandikiza na kuitenda chuki dhidi ya waislam,hawezi mpenda mwarabu...ukichukia boga chukia na ua
Bandari ni ya enzi za wakoloni aisee… as a formerPM… tupe milestone yake moja tuHakuacha alama kivipi wakati wao ndio walijenga hiyo bandari ?
Yeye alikuwa mwanasheria serikalini, mbona hawakuingiza vipengele vya kujiuza ili kujengewa bandari ?????
Bandari sio ya mkoloni!Bandari ni ya enzi za wakoloni aisee… as a formerPM… tupe milestone yake moja tu
"Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"Ndio angeenda kututoa hayo Mashaka!
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"Mimi pia nalitazama hili swala lakini sina maoni. Mawazo yangu yanabakia ni mawazo tu; hayaja - crystalize kuwa maoni.
Ila ningependa kuandika maoni ya wale jamaa niliwaona kijiweni leo. Mmoja wao kasema,"Rais Samia anapaswa kuwekwa jela" . Maneno yake yakazua mjadala mkali sana.
Kwa tafsiri fupi;hawezi kujiingiza kwenye upotoshaji wa taarifa zilizizagaa zagaa. kiufupi,itakuwa ni busara kuwaachia wenye dhamana kufanya hivyo! Isitoshe aliweza kuhitimisha hivyo👇Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa
Kwa lugha nyepesi kabisa, suala hili ni kaa la moto,hakuna anayetaka kukaa na suala hili ndio maana kila aliyehusika anatupia lawama kwa kitu chechote kinachoweza kupewa lawama huku wakijua wapi lawama hizo zifike- najua fika kuna watu hawaonani macho kwa macho kwenye makorido ya Ofisi nyeti Nchini.halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Unadanganya Umma.Uhuru ni mzuri sana.
Miaka mitatu nyuma angepewa mwaliko kama huo angewahi ukumbini siku mbili kabla.
...kwamba mtu yeyote yule mwenye mashaka au kuhoji kuhusu mikataba anapinga? Wawekezaji?Inasikitisha kuona a few that are not sure pia wanaonekana wanapinga hoja ya uwekezaji
Kwanza Hakuna uhakika if warioba said that and pili hata Kama amesema, he has the rights to do so
Lakini hana any additional merits kwani his time ilipita bila yeye kuacha alama
Algore,Hakana maana haka kazee........Ndiyo maana makonda alikizaba makofi
...niongezee tu,Na anasahau kwamba ujamaa ni sehemu ya maisha ya binaadam, na kwamba hakuna nchi yoyote hapa duniani isiyokuwa na ujamaa.
Huu ni ushauri wa bure kabisa, kama sio matakwa ya vitabu vikuu duniani.Mkiendekeza hao wazee nchi itakua kama Zimbabwe.
Hapa Jaji Warioba Kaeleweka vizuri sana. Wasijitoe Ufahamu.suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app