Warioba ni aina ya wale binadamu walalamishi ktkt kila jambo, mtu asiyeishiwa manung'uniko ndiyo maana alifukuzwa uwaziri mkuu na Mzee Mwinyi, na akaja kupigwa na Makonda, hajawahi ku-appreciate kinachofanywa na serikali hana tofauti na kina Tundu Lissu na Jenerali Ulimwengu. Watu km hao watakufa wakiwa hivyohivyo na bahati mbaya hawana cha maana walicho-accomplish ktkt maisha yao ya siasa. Ogopa sana "Mr. Know All", ni mtu mbishi, asiyeamini wenzake, yeye ndiyo anajua kila kitu, huyom hawezi kufanya kazi km team.