Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Huelewi maana ya legacy. Legacy ni fikra, siyo kitabu. Fikra sahihi au njema zinaweza kufanyiwa kazi au kutofanyiwa kazi lakini haibadilishi usahihi wake.
Hana legacy

Tupe hapa legacy yake
 
Nenda UN kwenye Mahakama ya mipaka ya Bahari kimataifa,katika waasisi,utaliona jina la uyo Mzee wa Nyagi.
Huna cha kujilinganisha na Jaji Warioba,wewe ni fala tu!
Kama ni majina tu, Wapo wengi

He happened to be around… close to mwalimu and that’s it

Hakuna sehemu aliyoacha alama zaidi ya presence
 
Jaji Warioba alikuwa mjumbe wa timu iliyoandaa sheria za kimataifa za mipaka ya Bahari na baadaye akawa Jaji wa Mahakama ya mipaka ya Bahari kimataifa.Anajua vizuri Samia kaingiza nchi mkenge ndiyo maana kakataa kushiriki upuuzi.
Kuwa mjumbe tu? We need his outstanding accolades

Except presence

Do you guys know hizi nafasi za kushiriki kwenye hizo platforms hi za kisoda na Kuna vilaza wengi sana?
 
Warioba has a good brain, and he uses it.
Kalamaganda has a good brain but he does not use it.
Kuna wengine hata hiyo brain hawana.
 
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."

Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"

Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"

MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"

Jaji.
Kesharambishwa asali mbona enzi za Jiwe alikuwa hakauki kwenye warsha na makongamano pamoja na vitisho alivyokuwa anapokea? Hawa ndio viongozi wetu wakiwa na njaa ndio akili zinawakaa sawa ila wakishiba wanatusaliti na kutuona kuku.
 
Kesharambishwa asali mbona enzi za Jiwe alikuwa hakauki kwenye warsha na makongamano pamoja na vitisho alivyokuwa anapokea? Hawa ndio viongozi wetu wakiwa na njaa ndio akili zinawakaa sawa ila wakishiba wanatusaliti na kutuona kuku.
What if anaunga mkono Lakini hataki mitusi na ngwara?
 
Hujui unayemuongelea au wewe ni wa juzi.
Mzee Warioba hajawahi kuongea na ndimi mbili.
Aliulizwa kipindi cha mwendazake kuhusu katiba mpya tafuta majibu yake Kisha uje hapa useme tena ndimi mbili
 
Wenyewe wamekaza fuvu hawasikii kitu!, 😁.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Nadhani alipokuwa anatoa uashauri bado alikuwa kijana kama wewe. Sasa vijana wa sasa wamefanya nini cha kukumbukwa? Tunambiwa bandari inauzwa, vijana mko wapi zaidi ya hao 6 waliojitikeza juzi?
 
Kauli ya Mzee Warioba inatosha kuwa kauli ya mwisho.

Mzee anaongelea mipaka ya nchi kuwa ktk utata,

Viongozi wa kisiasa mnasubiri nn kurudi nyuma kujisahihisha?

Mnataka HD nini kitokee ndo mjue Nchi imevimba?
 
Back
Top Bottom