johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi Karne hii bado mnatukuza watu wenye akili za kimasikini kama sokoineMwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Source TBC!
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Source TBC!
Dogo mzee Warioba?Hivi Karne hii bado mnatukuza watu wenye akili za kimasikini kama sokoine
Dogo nadhani wakati wa sokoine ulikuwa hujazaliwa
Huyu alipigwa vibao na makonda au?Dogo mzee Warioba?
Kuwa na adabu Tafadhali!
Alikuwa mzalendo haswa maana yeye, wana sema alikuwa ana suruali nne tu na shati kama 3 tu! Mzalendo haswa, wakasema pia alikuwa masikini na mtu wa kawaida! Kwamba alikuwa na ng'ombe zaidi ya 50,000! Na wanawake zaidi ya mmoja!Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Source TBC!
Nilijisikia vibaya sn kitendo kile alafu yule mbwa akapandishwa cheo kwa kuifanyia ccm kazi nzuri...Huyu alipigwa vibao na makonda au?
Cheo cha juu cha mzee Warioba ni makamu wa Rais!Hivi protocol iko vipi katika kuwatambulisha watu kama Mzee Warioba waliowahi kushika nyadhifa tofauti tofauti? Mimi nilidhani kuwa kile cheo cha juu zaidi ndiyo hutambulishwa, kwa hapa waziri mkuu mstaafu. Wanaofahamu watuelimishe.
Wazalendo hao....unasemaje juu yao ?Mzee Mwinyi kaamua kumtolea uvivu Mwendazake Makweta katika autobiography. Comrade Mangula naye kafanya nini tena?
Yule mheshimiwa waziri kichwani dakika mbili mbele.Hizi ndizo akili zilizolelewa na Nyerere. Si wa sasa hivi leo anaimba tujifukize kwa sababu kasema rais aliyepo, kesho akifariki huyo rais anaimba kinyume na kuvaa baibui kama rais wa sasa