Mzee Warioba: Sokoine alikuwa Mzalendo wa kweli na sijamuona wa kumfananisha naye

Mzee Warioba: Sokoine alikuwa Mzalendo wa kweli na sijamuona wa kumfananisha naye

Uko sawa! Ni Waziri Mkuu mstaafu.

Sikutegemea haya yasemwe na Warioba

Uzalendo sio kuvaa kipini, okay, uzalendo ni nini ????

Na kwa nini yeye hakuyafanya hayo ya kizalendo yalofanywa na Sokoine ?

Manake alikalia kiti hicho hicho, na tena kwa muda mrefu zaidi, na kiti kingine cha juu zaidi (Makamu Wa Rais).

Again, wana bahati sana hawa viongozi wanasema mambo haya huku Afrika huku kusiko na critics, tabloids and hecklers, watu wanaokuzodoa kwa makelele na miruzi hapo hapo ukiongea nonsense!
Uzalendo wa Warioba utasemwa na wengine siyo aanze kujitangaza yeye mwenyewe!
 
Kuna mwingine alijinasibu uzalendo mabendera kwenye suit zake .....akaishia skendo za kuiba kupiga deal....pamoja kuimba mapambio ya kukufuru kuwa eti jiwe ni yesu
Hahahahahahahahahahah wewe jamaa Ni hatari. Umenikumbuka bwana LUGOLA
 
Back
Top Bottom