Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Source TBC!
Wala hakutaka kabisa kuitwa mheshimiwa, Bravo Warioba, umegonga msumari wa moto tena wenye chumvi kwenye kidonda