Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Source TBC!
Ni yule aliowekaga machata kwenye majabali kua angekua raisMadilu ni nani huyo?
Si tuliambiwa shujaa wa Africa hana mfano vipi tena?Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Chanzo: TBC
Mwigulu Nchemba huku pesa zinapigwa hapo hazina kama hazina mwenyeweKuna mwingine alijinasibu uzalendo mabendera kwenye suit zake .....akaishia skendo za kuiba kupiga deal....pamoja kuimba mapambio ya kukufuru kuwa eti jiwe ni yesu
Ni miongoni mwa waliochangia kudumaza akili za Watanzania kwa kuzuia free market economy.Hivi Karne hii bado mnatukuza watu wenye akili za kimasikini kama sokoine
Dogo nadhani wakati wa sokoine ulikuwa hujazaliwa
Hata MUNGU mwenyewe haitaki CCMNilijisikia vibaya sn kitendo kile alafu yule mbwa akapandishwa cheo kwa kuifanyia ccm kazi nzuri...
Ccm ni laaana ya taifa ndio maana watz hawaitaki
Hahahaa! Wapi madelu system!!!Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Chanzo: TBC
Nilijisikia vibaya sn kitendo kile alafu yule mbwa akapandishwa cheo kwa kuifanyia ccm kazi nzuri...
Ccm ni laaana ya taifa ndio maana watz hawaitaki
CorrectHivi protocol iko vipi katika kuwatambulisha watu kama Mzee Warioba waliowahi kushika nyadhifa tofauti tofauti? Mimi nilidhani kuwa kile cheo cha juu zaidi ndiyo hutambulishwa, kwa hapa waziri mkuu mstaafu. Wanaofahamu watuelimishe.
Uko sawa! Ni Waziri Mkuu mstaafu.Hivi protocol iko vipi katika kuwatambulisha watu kama Mzee Warioba waliowahi kushika nyadhifa tofauti tofauti? Mimi nilidhani kuwa kile cheo cha juu zaidi ndiyo hutambulishwa, kwa hapa waziri mkuu mstaafu. Wanaofahamu watuelimishe.
Aisee inamaana hakumuona mzalendo wetu kweli 🤣Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Chanzo: TBC
Ni mmiliki wa mabasi ya estherHiyo ya skafu ya bendera Mbona Kama kijembe cha mtu fulani hivi
Huyo kichaa mfuasi sukuma gang siku zake zinahesabiwa.....Mwigulu Nchemba huku pesa zinapigwa hapo hazina kama hazina mwenyewe
HahahaahahahahahahaHizi ndizo akili zilizolelewa na Nyerere. Si wa sasa hivi leo anaimba tujifukize kwa sababu kasema rais aliyepo, kesho akifariki huyo rais anaimba kinyume na kuvaa baibui kama rais wa sasa
Mbowe
au nasema uongo ndugu zangu?
Haendi popote maana ni mshirikina vibaya snHuyo kichaa mfuasi sukuma gang siku zake zinahesabiwa.....
Sokoine na mimi ni mia 100Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni mwake.
Chanzo: TBC