Mister mimi
Member
- Apr 29, 2018
- 89
- 106
Huyu mzee nimemfatilia kiasi chake,
Ana busara,ana utulivu,sio mlalamishi,hana nguvu nyingi za mwili kama vijana ila ana nguvu katka kauli!
Na kwa sababu hiyo katika mijadala wengi hasa vijana huishia kumtukana badala ya kumjibu kwa hoja!
Wengi huishia kusema ooh mzee,ooh amechoka apumzike sasa,ooh anasinzia muda wote lakini hawajibu hoja zake.
Nilistaajabu hata mtu ninayemuamini kwenye mijadala alipoambiwa na wasira kuwa kama anataka mjadala na rais,ili amfikie kwanza aanze na watu wa chini yake na akiwashinda ndio amfikie rais!
Cha ajabu naye alirudi na majibu yale yale,, ooooh mimi nitaongea nini na mzee yule,ooh kwanza amechoka akapumzike!
Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Ikulu ya marekani, ufalme wa uingereza,serikali nyingi za ulaya zina vikongwe,sio kwa sababu ya umri wao,ni kwa sababu ya mawazo yao!
Kama hayasaidii nchi yao basi yanasaidia vyama vyao!
Kwenye mijadala cha kufanyia kazi ni hoja sio mtoa hoja!